Mwakyembe: Joshua Nassari akamatwa akiwa anataka kuingia bungeni na Chupa ya kilevi akiwa amelewa | Page 11 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwakyembe: Joshua Nassari akamatwa akiwa anataka kuingia bungeni na Chupa ya kilevi akiwa amelewa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ALWATAN KIZIGO, Apr 20, 2017.

 1. A

  ALWATAN KIZIGO JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2017
  Joined: Dec 21, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 80
  Leo Bungeni Dodoma, Joshua Nasari(Mb) Arumeru Mashariki amekamatwa na Watu wa Usalama akiwa amelewa huku akiwa na chupa akitaka kuingia nayo Bungeni.

  Mb Joshua alipoanza kuchangia alisema kuwa kamati iliyoundwa na Bunge wakati ule wa Rais Kikwete, kumchunguza Waziri Mkuu wa wakati huo Edward Lowassa juu ya tuhuma za Richmond haikutenda haki kabisa.

  Akijibu tuhuma hizo kwa kujiamini kabisa, Mh. Harrison Mwakyembe alisema yafuatayo:

  "Kwanza niwashukuru vijana wa Usalama kwa kutekeleza majukumu yao hasa ya kumshika Mh. Nasari na chupa hiyo ya kilevi, maana angeweza kutapikia bendera ya Taifa hivyo kulidhalilisha Bunge lote kwa ujumla...

  Kuhusu Edward Lowassa na tuhuma hiyo ya Richmond hawezi kusafishika kamwe kwa hali yoyote ile...Tumeshawachoka sana na hatuwezi kuwavumilia tena....

  Kamati yangu iliwahoji zaidi ya mashahidi 75,huku kabla ya kuhojiwa kwake na kamati hiyo Edward Lowassa alikimbilia kujiuzuru ghafla...Sasa bhasi kama kuna mtu yeyote hapa Bungeni anayejiamini alete hoja ya kurudisha tuhuma hizo za Richmond kuhusu Edward Lowassa tuanze kuijadili upya..

  Na siku tukianza kuijadili upya tuhuma hizo, ntamwomba Mh. Rais JPM anipumzishe Uwaziri ili nilishughulikie hili suala kikamilifu.

   
 2. K

  Kihava JF-Expert Member

  #201
  Apr 21, 2017
  Joined: May 23, 2016
  Messages: 2,095
  Likes Received: 1,566
  Trophy Points: 280
  Lendomz: Ungekuwa mkristo ningekukumbusha kwamba usisahau kuwa mtu akitubu dhambi zake anakuwa msafi. Lowassa kwa kusema ukweli juu ya Richmond na kuondoka kwenye genge la wahuni anakuwa msafi kabisa.
   
 3. G

  GNA JF-Expert Member

  #202
  Apr 21, 2017
  Joined: Dec 28, 2012
  Messages: 246
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
   
 4. impongo

  impongo JF-Expert Member

  #203
  Apr 21, 2017
  Joined: Feb 18, 2015
  Messages: 3,841
  Likes Received: 2,028
  Trophy Points: 280
  Njaa mbaya sana namdharau sana mwakyembe.
   
 5. u

  umulitho JF-Expert Member

  #204
  Apr 21, 2017
  Joined: Sep 18, 2012
  Messages: 418
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 60
  Nasari alikuwa ananyonya viroba bungeni!!!!! Aibu chAdema mbona hamwendi mahakamani kumshitaki nasari na chupa yake ya kilevi -gongo na viroba. Wahuni wakubwa nyie
   
 6. M

  Miss Madeko JF-Expert Member

  #205
  Apr 21, 2017
  Joined: Apr 30, 2014
  Messages: 1,961
  Likes Received: 1,788
  Trophy Points: 280

  Nadhani mda wa Mwakyembe una shida haswa yaelekea ile sumu mwilini imeanza kufanya kazi now tena kwa speed kali kwa kweli Nassari yeye hatumii kilevi chochote kabisa labda awe ameanza hiyo siku ili kumkabili Mwakyembe
   
 7. YEHODAYA

  YEHODAYA JF-Expert Member

  #206
  Apr 21, 2017
  Joined: Aug 9, 2015
  Messages: 11,400
  Likes Received: 10,795
  Trophy Points: 280
  Walikuwa wakipewa chupa za maji wanafungua wanatoa viroɓa kwa chini wanavimimina kuchanganya na maji waliyopewa halafu wanakunywa kwa raha zao wakikolea nɗio utaona wanavyokuwa wagomvi naɗhani humu nɗani mnakumɓuka sugu alivƴokolea na ƙuanza kurushia walinzi wa bunge ngumi .Waɓunge wengi wa upinzani warusha matusi ɓungeni mara nyingi ilikuwa steam ya viroɓa
   
 8. dan yah

  dan yah Senior Member

  #207
  Apr 21, 2017
  Joined: Apr 14, 2017
  Messages: 103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  We unaakili
   
 9. mbikagani

  mbikagani JF-Expert Member

  #208
  Apr 21, 2017
  Joined: Dec 5, 2014
  Messages: 2,549
  Likes Received: 1,027
  Trophy Points: 280
  SIIPENDI KWELI KWELI CCM, BUT FOR THIS STUPIDITY MATTER I CAN'T SUPPORT ANY ONE WHO DRUNK.
  KAMA NI KWELI DOGO KAINGIA AKIWA NA GAMBE, NI UPUUZI HUSIOVUMILIKA.
   
 10. juvenile davis

  juvenile davis JF-Expert Member

  #209
  Apr 21, 2017
  Joined: Apr 13, 2015
  Messages: 4,467
  Likes Received: 3,751
  Trophy Points: 280
  Lowasa ni mwizi tu na haipingiki,ila kura nilimpa
   
 11. Sinda69

  Sinda69 JF-Expert Member

  #210
  Apr 21, 2017
  Joined: Feb 6, 2016
  Messages: 379
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 60
  Bosi wenu kaguswa ni shida sasa
  lengo la Mwakyembe ni kutaka suala hili liishe. Maana kila mara UKAWA wanaliongea litaishaje sasa? Ndo amesema lileteni upya ili muone linaishia wapi. Na kwa sasa kuna mahakama ya mafisadi mkilileta Lowassa atafungwa na utakuwa ndo mwisho wa suala hili. Sasa ushabiki wa no class ni shida.
   
 12. Sinda69

  Sinda69 JF-Expert Member

  #211
  Apr 21, 2017
  Joined: Feb 6, 2016
  Messages: 379
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 60
  Bora wewe ni mkweli
   
 13. M

  Msororo69 JF-Expert Member

  #212
  Apr 21, 2017
  Joined: Feb 27, 2016
  Messages: 2,179
  Likes Received: 651
  Trophy Points: 280
  Mjukuu wangu mimi ndiye maandishi usitegemee kwisha.
   
 14. StingRay

  StingRay JF-Expert Member

  #213
  Apr 21, 2017
  Joined: Jun 28, 2014
  Messages: 319
  Likes Received: 317
  Trophy Points: 80

  Sheria ni makorokocho ya aina yake, yaani Lowassa anahatia kwenye kamati ya Mwakyembe lakini Gire ameachiwa huru na Mahakama. Duh ......so my take here kumbe ni bora Bunge kamati zake zinatenda haki kuliko Mahakama zetu pamoja na ukweli kwamba Chombo pekee cha kutoa haki ni Mahakama.....only in Tanzania
   
 15. M

  Mkirindi JF-Expert Member

  #214
  Apr 21, 2017
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 3,674
  Likes Received: 1,261
  Trophy Points: 280
  Kuna methali ya ndugu zetu wa hapa Arusha wamenipa hivi punde " KILA KIBAYA NI CHA BI HAWA" Kwa hivyo naona hapa kama unataka kuwabandikiza lawama wasiohusika.

  Nasari kashikwa na chupa ya pombe, atakaye pinga au kutueleza ukweli ni yeye mwenyewe tusubiri.

  Mie nadhani Mhe Lowasa na Chadema hawatopendezwa kulichimbua sakata la Richmond, kwani litaibua mengi yasio stahili
   
 16. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #215
  Apr 21, 2017
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,131
  Likes Received: 22,340
  Trophy Points: 280
  Mbowe mwenyewe mlevi na anatinga kishalewa, unafikiri kama hicho kimbunge kilichobambwa kimelewa unafikiri kimejifunza kutoka wapi kama si wakubwa zake.
   
 17. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #216
  Apr 21, 2017
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,483
  Likes Received: 7,088
  Trophy Points: 280
  Nadhani tatizo la wengi wenu ni kwamba wakati Ripoti ya Mwakyembe inatolewa bungeni mwaka 2008 ama hamkuwepo (hamjazaliwa) au ni wasahaulifu. Ninachokumbuka ni kwamba Mwakyembe hakuwasilisha ripoti kamili bungeni kwa kisingizio cha kuisetiri serikali ya CCM iliyoongozwa na Jakaya Mrisho Kikwete. Swali hapa labda ni alikuwa na maana gani alipotoa hiyo kauli ya kuisetiri serikali!

  Cha ajabu ni kwamba hakusita kumsulubu kiongozi wa serikali Bungeni na hata pale kiongozi huyo alipotaka kujitetea Bungeni alinyimwa fursa hiyo. Alipotaka kujitetea kupitia chombo cha habari cha kitaifa, TBC, na huku wananchi wakiwa na shauku kubwa kumsikiliza alizuiliwa dakika za mwisho na serikali hiyo hiyo. Je ni kwa nini Mwakyembe alidai kuficha ushahidi eti kuisetiri serikali ya wakati huo?

  Hiyo serikali iliyokuwa ikisetiriwa ni ipi?
  Mathalan kumsetiri mtu, kwa mfano, ni kumtupia kipande cha nguo kufunika aibu yake mtu huyo kwa kuvuliwa nguo na kubaki uchi. Lakini hadi mwaka 2010 Rais Kikwete bado alikuwa anamlilia aliyekuwa Waziri Mkuu wake Lowassa akidai alikuwa msafi ila alionewa tu na wenye wivu. Je na Mwakyembe ni miongoni wa waliokuwa wakimuonea wivu Lowassa?

  [​IMG]

  9/17/2010: Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Jakaya Kikwete, akimnadi mgombea ubunge jimbo la Monduli mkoani Arusha, Edward Lowasa, kwa wapiga kura wa jimbo hilo wakati wa mkutano wa kampenni jana jioni.

  Wangapi miongoni mwetu wanakumbuka sakata la umeme wa gesi na umeme wa upepo miaka hiyo na mipango ya watu kama Mwakyembe kuingia kwenye biashara kuzalisha umeme? Tumetoka mbali na kama Mwakyembe atakuwa kweli na nia ya kufungua pandora box la ripoti yake, let him bring it on. Huo mtego unaweza kuwanasa waliomo na wasiokuwemo...adui wa taifa letu ni CCM, period.
   
 18. E

  Eja One JF-Expert Member

  #217
  Apr 21, 2017
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 1,063
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Mwakyembe aibue hoja ya Richmond yanini wakati yeye alishamaliza kazi yake??
  Nyie mnaooona alionewa pelekeni hoja hiyo bungeni..Sikumbuki mpinzani yupi bungeni alisimama upande wa EL kipindi cha Richmond..Ila leo ndio shujaa wenu hahahaha
   
 19. mbikagani

  mbikagani JF-Expert Member

  #218
  Apr 21, 2017
  Joined: Dec 5, 2014
  Messages: 2,549
  Likes Received: 1,027
  Trophy Points: 280
  AKILI YANGU BADO HAIAMINI KAMA KWELI NASSARI ANAWEZA KUINGIA BUNGENI, SIYO TU KALEWA BALI NA CHUPA YA POMBE!
  AIBU KAMA HIZI TULITARAJIA ZITOKE CCM.

  NI MPUUZI TU NDIYE ATAKAYEMTETEA MLEVI AKIWA KALEWA WAKATI WA KAZI.
   
 20. E

  Eja One JF-Expert Member

  #219
  Apr 21, 2017
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 1,063
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Hata mama yake mzazi hawezi kujihaminisha hivyo kwa mwanae..so strange wewe mtu baki unajiaminisha kwa 100%
   
 21. E

  Eja One JF-Expert Member

  #220
  Apr 21, 2017
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 1,063
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Unahisi Mbowe, Zitto na Lisu wasingesimama kuomba mwongozo kama Mh. Waziri amelidanganya bunge???!!
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...