TANESCO Vikindu Mkuranga kulikoni kukata umeme kila Jumamosi?

GNA

JF-Expert Member
Dec 28, 2012
246
72
Hivi nyie TANESCO Vikindu mna matatizo gani? Mbona kila Jumamosi mnakata umeme kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa 12 jioni Bila maelezo yoyote? Huku kuna tatizo gani ambalo kila Jumamosi umeme lazima ukatwe?
Nimefanya utafiti mdogo nikagundua kuna series ya hii tabia.


Source mimi mwenyewe na utafiti mdogo niliofanya..
 
Jambo si kutangaza, japo kuwa wametangaza kinyemela. Ukweli ni kwamba umeme unakatwa kila jmosi! Haiwezekani kupumzika nyumbani... Kigamboni yani kama mahame! Mnatengeneza nini kila jmosi? Mnashindwa nini kufanya hayo matengezo siku za kawaida? Tuna mashaka na uwezo wenu wa kufikiria
 
Back
Top Bottom