Magazeti yapotezea Drama za Magufuli Bandarini

Chige

JF-Expert Member
Dec 20, 2008
13,495
29,859
JPM, kama kawaida yake akadhani bado watu wana uelewa wa Daudi Albert Bashite!! Baada ya kumtumbua Nape Nnauye na kumwacha Jambazi Daudi Albert Bashite; JPM akacheza drama za kitoto na kwenda bandarini ambako alijifanya amekamata makontena sijui ya madudu gani sijui!!

Lengo la JPM ilikuwa ni kuyafanya magazeti yatoe uzito wa juu kwa drama zake za bandarini ili kufifisha habari za Nape! Interestingly, drama zake zimepata coverage kwenye tule tugazeti twa kufungia maandazi mitaa ya Lumumba na Mnazi Mmoja kwa ujumla lakini magazeti yanayojitambua yote; habari hiyo hawakuipa nafasi ya juu; bila shaka walishashitukia drama JPM!!

HBARI KUU KUTOKA MAGAZETI YA LEO:
01.png


02.png
003.png


04.png


05.png

HABARI KUU KUTOKA VIPEPERUSHI VYA LUMUMBA

06.png


07.png

Ukiangalia hivyo vipeperushi vya Lumumba ndipo unaweza kupata picha halisi ya kile ambacho JPM alitarajia kutoka magezetini!!

 
Duh
Jpm Nchi Anaitumbukiza Korongoni Hivi Hivi
Lakini Lissu Alisema Akimaliza Kwa Hawa Atakuja Kwa Wale Sasa Anachanja Mbuga

Mwendo Wa Bastola Nakumbuka Aliposema Chombo Cha Dola Hakuna Kukichezea
Kawapa Kiburi Mpaka Hawajui Matumizi
Mtu Ambaye Hana Kitu Mkononi Hajabisha Silaha Unamwonyesha Ya Nini
 
Duh
Jpm Nchi Anaitumbukiza Korongoni Hivi Hivi
Lakini Lissu Alisema Akimaliza Kwa Hawa Atakuja Kwa Wale Sasa Anachanja Mbuga

Mwendo Wa Bastola Nakumbuka Aliposema Chombo Cha Dola Hakuna Kukichezea
Kawapa Kiburi Mpaka Hawajui Matumizi
Mtu Ambaye Hana Kitu Mkononi Hajabisha Silaha Unamwonyesha Ya Nini

Ha ha ha! Nasikia Nape aliuliza kitambulisho chake jamaa akatoa bastola eti hili hapa. Kwa hiyo kila mwenye silaha ni afisa usalama?
 
Upuuzi , heri umasikini katika uhuru! Mambo ya bandarini is nonsense , hatutaki bandari, hatuna shida ya badari na mchanga, magari, mitumba etc, acha tufe na umasikini, tunataka uhuru na haki, usawa kwa wote!
Una uhakika na unayoyaandika au unavutia tu ngozi upande wako?
 
Back
Top Bottom