Recent content by gkalunde

  1. G

    Libyan Lebels ni sawa na CHADEMA nchini, tukiwachekea watatuletea maafa!

    Sioni chakuchangia huyu kilaza anapima kinacha maji ili aone watuwanavyo react humu jamvini nikumpuuza tu.
  2. G

    Kauli mbiu ya CHADEMA nguvu ya Umma na wabunge 23

    Unajifanya kipofu hujui maandamano yamezaa nini hukuona maandamano yalivyoanza tu tukaona wakuu wa nchi wanaingilia bei za vyakula ikiwa ni pamoja na kushusha bei ya sukari kuzuia nafaka zisiuzwe nje kama mahindi kwa Dar mkuu wa mkoa aliamuru wafanyabiashara wa unga wa sembe wapunguze bei baada...
  3. G

    Huu ni ukatili uliopitiliza

    Acha uongo we baba wewe Msoud amepotea tangu tarehe 1/sept hata kabla ya uchaguzi nafikiri huyo mliokuwa nae ni pepo kama wewe sio mwongo.
  4. G

    Dear FaizaFoxy: Ukijibu hili nahamia CCM

    Acha kumegwa wewe jibu swali acha kukwepesha tundu si umekula hela za bwana yako RA jikongoje tu mama jibu swali.
  5. G

    Dear FaizaFoxy: Ukijibu hili nahamia CCM

    Kikongwe kabaki kumumunya maneno tu kwisha habari yake ona anavyopayuka tu kwa kukosa hoja FF acha ubishi kama ngozi ya masaburi hata upake cream vipi haiwi nyeupe.
  6. G

    Dear FaizaFoxy: Ukijibu hili nahamia CCM

    Kwahiyo Ritz umekubali wewe ni kibalaka wa Magamba.
  7. G

    CHADEMA Shinyanga wamkalia kooni Mbunge wa Solwa SALAMU HAMED

    Hivi hii Kahama ina nini?wabunge wa shinyanga wajitahidi kufanya mikutano ili kuliteka na jimbo hili la mheshimiwa Lembeli ingawaje ni kubwa sana lakini kwa vuguvugu hili Kahama isipitwe kabisa nikuweka kambi kabisa.
  8. G

    Wabunge wa CHADEMA Mbeya waunguruma Rujewa....

    Mikutano haijengi nchi ila inaibomoa CCM
  9. G

    Msaada ku unrocky moderm ya tigo

    Si umeelewa sasa toa msaada sasa.
  10. G

    Tundu Lissu ashtakiwa

    Kwani JK ile ya Kigoma kuwa Dubai ya tayari imesha tekelezwa mkuu nijuze.
  11. G

    Ufisadi hasa ni nini?

    Elewa tu amebobea katika falsafa(philosoph)sasa uliza falsafa ni nini tukikuchambulia ndipo utabro kijana hii ni smart course na inakufanya uwe na uwezo mpana sana wa kufikiri(deep and broad thinking capacity)kwa kweli course hii ni ngumu lakini ukiifahamu ni tamu sana na mara nyingi hutolewa...
  12. G

    Msaada ku unrocky moderm ya tigo

    Wakuu naombeni msaada jinsi ya ku unrock moderm ya tigo model E153u-1 ,IMEI 352375045181518 ,S/N;KMA5TA10C0713800.
  13. G

    Freeman Mbowe: Nguzo na mhimili muhimu kwa ustawi wa CHADEMA

    Ieleweke ndani ya CDM tuaangalia sifa za mtu anauwezo wa kuiongoza CDM hatuangalii kaongoza muda gani ieleweke hivyo kwahiyo hata Mbowe kama itadhibitika kabisa kabisa uwezo bado anao wa kutosha kabisa hasa kuidhibiti CCM isipate mwanya wa kuivuruga CDM kama ilivyo sasa maana huo ndio moyo wa...
  14. G

    Msaada wa program ya video converter

    Wakuu naombeni msaada wa kupata program ya video converter nataka kuconvert nyimbo za video mp4 kwenda DVD au kama kuna mtu ana jua free link yoyote yenye program hizo anitupie hapa jamvini shukrani wakuu.
  15. G

    Waziri atoboa alivyobanwa na Nyerere; sio Kiketwe na mawaziri wake

    Kwhiyo unataka kutuambia Mwalimu angekuwa mkuu wa nchi sasa hivi mambo yange kuwa hivihivi yalivyo sasa kwa kuwa mazingira yapo tofauti kwa kiasi kikubwa na mifumo ipo tofauti hebu fafanua mkuu, nina uhakika hasa hili suala la uwajibikaji lingekuwepo tu hebu fikiri leo hii ni wangapi wanajua...
Back
Top Bottom