Dear FaizaFoxy: Ukijibu hili nahamia CCM

Dear FaizaFoxy: Ukijibu hili nahamia CCM

Na nyie Pro-CDM JF Mkijibu hili swali naamia CDM..

Kwa nini mnataka Padre Slaa, awe rais wa Tanzania?

Acha kudandia Treni kwa mbele anzisha yako uulizie hilo
 
Na nyie Pro-CDM JF Mkijibu hili swali naamia CDM..

Kwa nini mnataka Padre Slaa, awe rais wa Tanzania?
na wewe unaweza kunijibu kuwa kwa nini huyu shehe hapa chini ameiharibu nchi?halafu kwa nini anapenda sana kwenda marekani? kwani nchi za kiarabu hazioni\?nijibu basi
04_09_4heph61.jpg
 
Na nyie Pro-CDM JF Mkijibu hili swali naamia CDM..

Kwa nini mnataka Padre Slaa, awe rais wa Tanzania?
Unahamia chadema ukitokea chama gani? si umesema ww sio CCM na mara nyingi umekuwa ukijinadi hapa ukumbini kuwa huna chama?
 
Kwa nini usimuulize kwa PM?

Aulize kwa PM wakati FaizaFoxy linalipa kama vile Rostam? ana hesabu kali mwenzako. Halafu inahusu nini kuulizana kwa PM mambo ya siasa? Unanchekesha!
 
Na nyie Pro-CDM JF Mkijibu hili swali naamia CDM..

Kwa nini mnataka Padre Slaa, awe rais wa Tanzania?

Miafrika bwana inaulizwa swali na yenyewe inauliza swali badala ya kujibu!
 
We ndugu, RA hawezi kuwa gamba,utu wake yeye ni binadamu, labda tuseme yeye kupitia CCM anasadikika kuwa amekula vyenye rutuba zaidi ya wengine. Nape hawezi kukujibu kuisahihi na sidhani kama anauwezo wa kujibu kwani naye anaonekana kusutwa nafsi yake kwa kutaka kuwapumbaza watanzania kwa siasa zake nyepesi au kwa kutumika na baadhi ya makada wa CCM.

Naamini Nape anaweza kupelekwa puta hata na moja ya kaka au dada wakuu wa sekondari flaniflani hapa Tz achilia mbali vyuo.
 
Unajua kuna uanachama na kuna unafiki. wewe muanzisha mada utakuwa kwenye kundi la wanafiki. Mwanachama wa kweli hawezi kuhama chama chake kutokana na upuuzi huu.
 
Dah..Mwanamke anaitemesha midume udenda! Kweli humu ndani ma great thinker wapo wachache sana!
 
Mtafanya hata kama jambo nilakweli, basi yeye apinge ili wawe maarufu humu.

Ungem-pm tu, kuliko ulivyonipotezea mda wa kuandika.
 
Nimegundua Jambo hapa.

Majibu anayotoa Faiza Foxxy Ndiyo yale yale Tunayopewa na hawa wabunge/mawaziri wa ccm pale Bungeni Tunapouliza maswali nyeti.

I gues FF anaweza kuwa mtu fulani pale Bungeni. Trust me guys
 
Back
Top Bottom