Huu ni ukatili uliopitiliza

hii ndiyo sababu kubwa iliyonifanya niachane na chadema na siasa walau kwa muda.

siku ya jumatatu tarehe 3/10/2011 baada ya kuwa na matokeo ya awali ya uchaguzi mdogo wa igunga, marehemu masoud wakati huo akiwa hai, alianza kulalamika ya kuwa baadhi ya viongozi wa chadema wakiwemo wa ngazi za juu wanamtuhumu kukihujumu chama hicho kwenye uchaguzi huo ambao yeye alikuwa mmoja wa mawakala.

Wakati tuko nae akaja katibu wa kilimanjaro bazil lema huku akilalamika ya kuwa chama kimehujumiwa na kisha akamnong'oneza marehemu masoud kabla ya kuondoka nae. Masoud hatukumuona tena mpaka tulipopata taarifa za mwili wake kuonekana porini.

Jamani uamuzi ni wenu.

umepotea njia sio sehemu yake.
 
Acha uongo we baba wewe Msoud amepotea tangu tarehe 1/sept hata kabla ya uchaguzi nafikiri huyo mliokuwa nae ni pepo kama wewe sio mwongo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom