Kama ahadi ni deni Kikwete amelipa kiasi gani katika maelfu ya ahadi zake? Je maisha bora kwa kila mtanzania wewe yameshakufikia??Bila kujali kwamba Lissua ameshtakiwa kwa nani. Swali la kujiuliza ni kwamba amelipa deni la ahadi zake (maana ahadi ni deni)?
Kama hawezi basi kwanini anatoa ahadi? Au ndio hela za babu wa kihindi ndio zitatumika?
Nani kashika dola? Acha kuleta upuuzi mkuu,nadhani tuone kwanza JK katimiza nini? zaidi ya kutalii kwenye nchi za watu kama mtalii...
Mbunge gani wa upinzani alie weza kutekeleza ahadi zake? Hawa ni domo tu, Lissu yuko busy kwenye maandamano hana muda na jimbo lake.
Nimerudi vicky kamata....
Na wewe ni wa chapombe Mbowekumbe Omr ndiyo vicky kamata nyumba ndogo wa mzee wa kuhongwa suti basi hapa mtabishana mpaka kukuche anatetea serikali ya mmewe...
Muulize mzee Mtei, yote haya yametokana na upumbavu wake. Ndio maana nyerere alimfukuzaKama wabunge wa ccm wangetekeleza ahadi zao hii miaka 50 watoto wetu wasinge kaa chini madarasani wala wake zetu kujifungulia sakafuni. Umeme ungekuwapo watanzania wangeishi kwenye nyumba bora na raisi wetu angenunua suti kwa pesa yake mwenyewe
Anapinga kwani yeye serikali? Si wenzako wanasema yeye ni mwakilishi tu, sasa hiyo nguvu ya kupinga mambo ameipatia wapi?jimboni kwa lisu alipiga marufuku michango yote ya kijinga..
Kweli hao wananchi wa Ikungi ni walevi, inakuwaje wanamshtaki polisi kwa mwizi.... Ilitakiwa wamshtaki huyo mahiza kwa Lissu, au inawezekana ni janja ya magamba kuendelea kutumia neno 'wananchi' vibaya. unaweza kukuta ni jamaa watatu tu lakini wanasema wananchi
Kama hawezi basi kwanini anatoa ahadi? Au ndio hela za babu wa kihindi ndio zitatumika?
Mbunge gani wa upinzani alie weza kutekeleza ahadi zake? Hawa ni domo tu, Lissu yuko busy kwenye maandamano hana muda na jimbo lake.
Kwani JK ile ya Kigoma kuwa Dubai ya tayari imesha tekelezwa mkuu nijuze.Nani ameweza kutekeleza aliyo ahidi? tupe jina kijana
"Tundulisu ashtakiwa na wapigakura wa kata ya ikungi kwa aliyekuwa mlezi wa mkoa wa singida ambaye kwa sasa ni mkuu wa mkoa wa pwani mh Mwatumu Mahiza.kisa tangu achaguliwe hajatimiza ahadi hata moja kazi yake kubeba mafail" Angel Akilimal mtangazaji wa redio ya magamba (uhuru)- status yake ya leo hiyo kenye fb page yake.
Naona magamba sasa wameamua kuwashambulia wabunge wa CDM ambapo ndani ya mwaka mmoja wameanza kuwanyooshea vidole wakati wao nadani ya miaka 50 ya uhuru wameifilisi nchi kwa ufisadi na utawala mbovu wenye kuwagawa watz kwa makundi ya aliyo nacho na asiye nacho.
Muulize mzee Mtei, yote haya yametokana na upumbavu wake. Ndio maana nyerere alimfukuza
Mbunge gani wa upinzani alie weza kutekeleza ahadi zake? Hawa ni domo tu, Lissu yuko busy kwenye maandamano hana muda na jimbo lake.
Wabongo kwa kupenda vyeo; eti 'mlezi wa mkoa' !!