NALO LITAPITA
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 333
- 90
Aliwahi kunifundisha pl 111 ambayo ni argumentation criticalthinking
kualikwa kwenye midahalo haimaanishi eti wewe ni dr wa ukweli yule ni mtu mwenye tamaa na wivu wa umaarufu
Sio wewe ndio unamuonea wivu kwa kuwa ni Dr wa ukweli na ni timamu kuliko JK.
Dr Lwaitama is a senior lecturer, Philosophy Programme (Unit), University of Dar es Salaam
Napenda alivyo mkweli huyu mzee! Hana tofauti na prof Mwesiga Baregu! Wakweli japo ukweli wao mara nyingi unawaponza.Laiti kama serikali yetu ingependa kupata na kufuata ushauri wa wasomi kama hawa tungekuwab mbali sana.
Lakini mkumbuke kwamba alikuja external examiner mmoja kutoka uingereza kuangalia mitihani ya philosophy aliyosahihisa 'dr wa ukweli' katika maswal ya logic wanafunzi waliyowekewa na dokta huyo external examiner alikundua majibu ya wanafunzi hao yote yalikuwa falacy sasa ukweli wa dokta huyo uko wapi?
Ungebahatika kwenda chuo pale UDSM huyu bwana angekufundisha critical thinking and argumentation then usingekuwa unaandika hizi pumba zako hapa.kualikwa kwenye midahalo haimaanishi eti wewe ni dr wa ukweli yule ni mtu mwenye tamaa na wivu wa umaarufu
Lakini mkumbuke kwamba alikuja external examiner mmoja kutoka uingereza kuangalia mitihani ya philosophy aliyosahihisa 'dr wa ukweli' katika maswal ya logic wanafunzi waliyowekewa na dokta huyo external examiner alikundua majibu ya wanafunzi hao yote yalikuwa falacy sasa ukweli wa dokta huyo uko wapi?
Tupe ushahidi mkuu, madai kama haya ni makubwa mno huwezi kuyamwaga hapa bila kuyajengea uhalali. La si hivyo wewe ni mzushi wa kutupwa.Lakini mkumbuke kwamba alikuja external examiner mmoja kutoka uingereza kuangalia mitihani ya philosophy aliyosahihisa 'dr wa ukweli' katika maswal ya logic wanafunzi waliyowekewa na dokta huyo external examiner alikundua majibu ya wanafunzi hao yote yalikuwa falacy sasa ukweli wa dokta huyo uko wapi?
Kwanini BAKWATA wasiwapeleke watu wao huko?Elewa tu amebobea katika falsafa(philosoph)sasa uliza falsafa ni nini tukikuchambulia ndipo utabro kijana hii ni smart course na inakufanya uwe na uwezo mpana sana wa kufikiri(deep and broad thinking capacity)kwa kweli course hii ni ngumu lakini ukiifahamu ni tamu sana na mara nyingi hutolewa katika seminary kuu za wakatoliki ambazo zinaandaa mapadri na huchukua miaka kati ya 2au3 huko huko husoma full course ya falsafa nafiki imeeleweka mkuu.
Leo nimekaa na kuwaza kidogo kwa sababu katika pita pita yangu nimekutana na mfanyakazi mmoja wa ngazi ya juu ambaye anasema akiitwa fisadi ni kama "promotion" na hivyo kuandikwa magazetini ni sifa ya aina fulani.
Hofu yangu ni kuwa mtu kuitwa "fisadi" kunaanza kuwa kama kumwambie mtu "duh, jamaa mshenzi sana".. kwa maana nzuri kwamba jamaa amechangamka sana katika mambo yake.
Sasa naomba tuweke vitendo ambavyo tunaweza kuviita ni vya kifisadi? Je ni vitendo vya sifa kuwa fisadi?
Hili la neno la kashfa kuonekana kama sifa sio katika siasa peke yake. Ni culture nzima ya promotion ya antivalues imeingia Tanzania. Inaanza na vitu vidogo vidogo kama mtoto kupigana shule na kuonekana ndie anafaa, watoto wadogo kujishughulisha katika ngono wakiwa bado primary au secondary school, kukataa kuvaa condom, kua na sexual partners wengi bila wenyewe kutambuana, na yanaendelea kwenye mambo makubwa kama wizi, ufisadi, ulaji wa rushwa, kufanya fujo bungeni ili hoja muhimu zisijadiliwe kwa wakati, kudharau wapiga kura etc. kuanzia juu hadi chini, chini hadi juu, kumekua na promotion ya antivalues katika jamii.Fisadi ni mtu Corrupt - hiyo ndio maana yake kwa lugha yetu ya kiswahili. Lakini tukienda mbali zaidi, fisadi lacks integrity (uadilifu); ni mtu ambae hayupo straight kwani he/she is evasive and dishonest; fisadi pia lacks morality (hatenganishi right and wrong katika matendo na maamuzi yake);
Kwahiyo fisadi as a content si sifa bali it is the context that comes into play; watanzania wengi live in a context of total hopelessness and despair kwani kwa muda sasa CCM na serikali yake imeshindwa kutengenza watanzania mazingira yanayotoa opportunity for prosperity and success and an upoward social mobility kutokana na jasho la mtu. Matokeo yake ni kwamba ni watanzania wachache sana ndio wanafanikiwa kimaisha; ndio maana mtu akifanikiwa kiuchumi/kifedha, regardless of the means, anageuzwa kuwa hero na role model, hence the term fisadi getting a positive connotation. Huu ndio mtazamo wangu.
Leo nimekaa na kuwaza kidogo kwa sababu katika pita pita yangu nimekutana na mfanyakazi mmoja wa ngazi ya juu ambaye anasema akiitwa fisadi ni kama "promotion" na hivyo kuandikwa magazetini ni sifa ya aina fulani.
Hofu yangu ni kuwa mtu kuitwa "fisadi" kunaanza kuwa kama kumwambie mtu "duh, jamaa mshenzi sana".. kwa maana nzuri kwamba jamaa amechangamka sana katika mambo yake.
Sasa naomba tuweke vitendo ambavyo tunaweza kuviita ni vya kifisadi? Je ni vitendo vya sifa kuwa fisadi?
Yeye mwenyewe anatumia nguvu gani madhabauni kwake?