nimekuwa kwenye mpaka wa malawi na tanzania, kufika jioni mpaka unafungwa eti hakuna tena muvumenti za malawi tz. kibaya zaidi funguo za gate anazo inchaji halafu hayupo getini. inapotokea imejensi mpaka mkuu atafutwe ndo mambo yaende, ktk hali ya kawaida mie naona mtindo huu ukomeshwe maana...
wakituzingua tuchome moto vituo vyote vya mafuta. tumachoka kuonewa maana hivi vituo ni vyao wao, bora tutiane hasara. WAO WAKIMWAGA MBOGA SIE TUMWAGE UGALI. HATUSHINDWI KUWA KAMA TUNISIA!!!!!!!!!!!!!!!!!! IKIWA HATA ENGLAND NAO WANAGOMA ITAKUWA SISI.
Inawezekana ndo maana baba yake hajishughulishi na kufufua reli ya kati, ili biashara ifanyike. Maana siku hizi, biashara za wakulu wa hano ni vituo vya mafuta na usafirishaji.
Mimi ninasema huyu bwana ni mwizi, kama vipi, kwenye marekebisho ya katiba tuondoe kinga ya viongazi kushtakiwa ili tuwe huru kudeal na viongozi wezi wote baada ya kipindi chao cha uongozi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.