if your too sensitive.. DONT OPEN!...

if your too sensitive.. DONT OPEN!...

Easymutant

R I P
Joined
Jun 3, 2010
Posts
2,564
Reaction score
1,135
noma.jpg

Mungu atuepushie balaa...
 
Duh watu wengine bwana wana mambo kweli. Kwani lazima utumie lugha usiyoijua? Kiswahili kimejitosheleza Mkuu.

wewe nae umekuwa kifimbo cheza wa gazeti la sani?
 
Mbona mzungu akikosea kiswahili mnaona poa tu! so far we are not English native speakers. kwa watoto wa mjini tunasema "that is a slip of a pen" OK?
 
r i p.mungu atuepushie balaaa hii watanzania isijeshamiri
 
halafu najiuliza kwa nini mtu anajilipua mwenyewe....?
 
Back
Top Bottom