Mbunge wa Ludewa (Filikunjombe) ana ushahidi wa Barua ya Jairo kusimamisha mradi wa umeme Liganga! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge wa Ludewa (Filikunjombe) ana ushahidi wa Barua ya Jairo kusimamisha mradi wa umeme Liganga!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DSN, Aug 10, 2011.

 1. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Kituko kingine cha Jairo akiwa Katibu wa Madini aliandika barua kipindi cha mwezi wa tatu [3] mwaka huu kusimamisha mradi wa umeme wa Liganga. Anasema sababu za kusimamishwa kwa mradi huo wa Umeme ni mambo binafsi na faida binafsi za bwana David Jairo.

  Bwana Filikunjombe alikuwa akichangia hoja ya Wizara ya Viwanda na biashara. Anasema bila umeme wananchi wa Ludewa wataendesha vipi shughuri zao huku vijana wao wamefunga saloon zao kwa kukosa umeme.

  Kawasilisha mchango wake kwa kupigilia msumari kuhusu bwana David Jairo akiwa na barua hiyo ya kukatisha kuendelea kwa mradi huo wa umeme kwa sababu zake binafsi.

  Kwa mtindo huo kweli wametufikisha pabaya

  Nawasilisha
   
 2. Erick G. Mkinga

  Erick G. Mkinga Member

  #2
  Aug 10, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jairo Afukuzwe kabisa..hakuna kuhamishwa hapa.
   
 3. M

  Marytina JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Jairo alikuwa akitekeleza maelekezo ya rais
   
 4. y

  youk Member

  #4
  Aug 10, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama ushahidi anao kwa nini asifikishwe mahakamani?na cag akamilishe uchunguzi haraka tumechoka na viongozi wabovu,kaza buti Fikikunjombe kwa manufaa ya wananchi wako.
   
 5. m

  mcso Member

  #5
  Aug 10, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh. Filikunjombe anapokea maoni na ushauri wenu hapa Filikunjombe Haule Deo kuhusu utendaji wake wa kazi. Msimuangushe wananchi
   
 6. G

  Ginila Nyeura Member

  #6
  Aug 10, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jamani mtupe hayo mambo kwa kina, wengine tuko mbali na radio, TV na magazeti ndo yanatufikia keshokutwa.
   
 7. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #7
  Aug 10, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280

  Na rais huyo huyo atautangazia umma kua Jairo ""KAFARIKI"" mnamjua chifu Mangungo mnamskia? huyo ndo zumbukuku a.k.a Vasco da Gama Pori
   
 8. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,727
  Likes Received: 1,633
  Trophy Points: 280
  kumbe naye huwa anaona mbali vipi kuhusu madini kijijini mwake? nasikia wananchi wako, wako hoi sana, nia madini yamewazunguka kila upande, sijui wanasubiri yakue
   
 9. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  Inawezekana vipi katibu mkuu kusimamisha mradi bila waziri wake kujua?
  Kama kweli Mi naona wizara nzima imeoza.

  Na vipi huo ushahidi ameshakabidhi kwa spika au kwenye vyombo husika kwa ajili ya uchunguzi zaidi na uthibitisho wa kauli yake.
   
 10. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #10
  Aug 10, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
  swala hapa ni ni mkuu wa kaya ndio tatizo....anawakumbatia sana......
   
 11. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #11
  Aug 10, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,419
  Likes Received: 3,766
  Trophy Points: 280
  Nchi ya kitu kidogoooooooooo..............
   
 12. K

  Kimangila Member

  #12
  Aug 10, 2011
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Issue hapo si Jairo pekee kuanzia juu mpaka chini waondoke madarakani jairo angetoa wapi ujasiri kama hayuko pamoja na waziri wake na waziri hasingeacha upupu uwepo kwenye wizara yake kama hayuko pamoja na mkuu wao wote tumewachoka watuiachie nchi yetu jamani
   
 13. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #13
  Aug 10, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jairo, Ngeleja na Naibu wake lao moja tu tena wakitekeleza magizo ya mkubwa wao...JK alitembelea kila wizara sasa inakuaje haya mambo yatokee sasa?

  Hivi ile semina elekezi ilikuwa na lengo gani? Tunataka maamuzi magumu kama ya CHEDEMA yatekelezwe kama haya mambo vinginevyo CHADEMA ndio chama pekee kitakacholeta mapinduzi ya kweli hapa Tanzania..
   
 14. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #14
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  rais yupi?
   
 15. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #15
  Aug 10, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Nimemsikia mwishoni akiongelea hili...ngoja tuone danadana za JK na serikali yake.
   
 16. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #16
  Aug 10, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kufukuzwa peke yake haitoshi anatakiwa apelekwe mahakamani....
   
 17. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #17
  Aug 10, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Ni pamoja na rais...
   
 18. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #18
  Aug 10, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ni faraja kuona hata wabunge wa ccm wameacha utoto na ushabiki a kikada na sio maslahi ya taifa!hakika nao wameanza kuibua hoja nzito zenye mashiko na maslahi ya taifa na wanaungana na wenzao pasipo kujali itikadi ila wanajali utaifa na maendeleo ya wengi!bravoo bravoo
   
 19. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #19
  Aug 10, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Chama lekeleke huzaa serekali lekeleke!
   
 20. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #20
  Aug 10, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Chama lekeleke huzaa serekali lekeleke!
   
Loading...