Je, Mmiliki wa Lake Oil ni nani?

Je, Mmiliki wa Lake Oil ni nani?

kagamba kadogo

Senior Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
178
Reaction score
19
Kuna taarifa kwamba Riz-one anamiliki vituo vya mafuta vya Lake oil. Anashirikiana na jamaa mmoja ambaye alikuwa bosi wake na waziri aliyeshindwa uchaguzi 2010.

Kumbe ndio maana jamaa wana jeuri ehhhh. Du hata JK ana tenda ya kusupply mafuta serikali ya Burundi ndo maana mama alikuja kumsalimia mshirika wa mumewe (nkurunziiza) hivi majuzi....
 
inawezekana ndo maana baba yake hajishughulishi na kufufua reli ya kati, ili biashara ifanyike. Maana siku hizi, biashara za wakulu wa hano ni vituo vya mafuta na usafirishaji.

Malori karibu mia mbili ya asas yanayokwenda congo na zambia ni ya ridwan akishirikiana na waarabu waitwao asas wa Iringa
nawakilisha
 
Hizo ni taarifa sahihi kabisa. Kuna data tunazikamilisha tutazimwaga humu wakati wowote kuonyesha ufisadi wa huyo dogo akishirikiana na baba yake. Stay tuned.

Mkuu fanya hima mzikamilishe na kuzileta mapema (you need to strike the Iron when its still hot).., sababu mkija kuzileta miaka 10 kuanzia sasa hazitamsaidia mtu na zitakuwa ni kama ngonjera
 
malori karibu mia mbili ya asas yanayokwenda congo na zambia ni ya ridwan akishirikiana na waarabu waitwao asas wa iringa
nawakilisha

hii nchi ni noma. HUYO NDO PRINCE MWANA WA MFALUME. NDO ISHU ZA KIUJANJA UJANJA HIZO.
ILA I HOPE IPO SIKU ISIYO KUWA NA JINA. KULE TUNISIA FAMILIA YA RAISI ALIYEONDOSWA MADARAKANI IMEHUKUMIWA MIAKA 30 KWA UFISADI. SO HATA HUKU IPO DAY
 
mkuu tukisema tusubiri hiyo siku wanazidi kutuharibia nchi yetu
huyu kikwete na mtoto wake hawawezi kufanya mambo wanayotaka,hii ni nchi yetu wote,kuhusu malori tuna ushahidi wa kutosha
 
mkuu tukisema tusubiri hiyo siku wanazidi kutuharibia nchi yetu<br />
huyu kikwete na mtoto wake hawawezi kufanya mambo wanayotaka,hii ni nchi yetu wote,kuhusu malori tuna ushahidi wa kutosha

Tufahamishe vizuri maana hatuelewi mara asas mara lake oil yupi hasa ndo mastermind
 
hii nchi ni noma. HUYO NDO PRINCE MWANA WA MFALUME. NDO ISHU ZA KIUJANJA UJANJA HIZO.
ILA I HOPE IPO SIKU ISIYO KUWA NA JINA. KULE TUNISIA FAMILIA YA RAISI ALIYEONDOSWA MADARAKANI IMEHUKUMIWA MIAKA 30 KWA UFISADI. SO HATA HUKU IPO DAY

Kwanini isiwe kesho!!!!!!!
 
Tunataka mafuta tukaendelee kubangaiza, wanataka ionekane issue ya mafuta haiwezi kuwa regulated ili watunyonye vizuri, yule jamaa kawapa 24 hrs notice serikali waombe radhi masebu anakuja na vi tamko.

Hivi yule jamaa enzi za Nyerere aliyesema ameiweka serikali mfukoni na huyu anaetoa onyo tena na notice fupi ya masaa 24 akitaka serikali maana yake mkuu wake ni Rais inakuwajekuwaje mi mwenzenu mbona sielewi?

Nyerere hivi alifanyaje tena. ni madhara gani au faida gani alizozipata baada ya kumtimua yule jamaa kiasi cha kuwatisha viongozi wetu wa sasa?
 
Back
Top Bottom