MHE.. Tendwa ni CCM Mkereketwa, Unatarajia nini, Kama Dola inatumika kisiasa na yeye yupoyupo tu, hiyo sheria anayoisimamia ina haki ndani yake . haiwezekani . Chambua yaliyotokea IGUNGA ,pima maneno yake ndipo utaelewa usemi ," nani tamfunga paka kengele'. Nadhani CCM inatumia Ujinga na upmbavu wa wanachi vijijini,kutojitambua haki zao ,kuwaduwaza zaidi na zaidi, kwani mbona mijini waliko elemishwa watu tunaona haki ikililiwa kwa sasa. Muda simrefu,Ekweli utadhihilika. Watoto wasie Brain washed sasa.