Recent content by GGIRRIMATA

  1. G

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada juu ya hili

    Ninajogoo ila kila akipanda jike huyapasua kwa (paga) zake kiasi ambacho huwapelejea kuku jike hadi kukimbia kwa maumivu ya vidonda nini kifanyike juu ya huyu jogoo? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. G

    JamiiForums Tanzania MSAADA JAMANI

    Natumia tv sumsung ila nikiweka picha zinonesha rangi nyeupe tu kiasi ambacho inaniumiza macho nini kifanyike ili kurekebisha rangi
  3. G

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Simba Vs Mbeya City Uwanja wa Taifa VPL 4/3/2017

    Vp jamani mnyama ametoaje
  4. G

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Utumishi wamefanyia kazi maoni ya MwanaJamiiForums kuhusu upatikanaji wa salary slip online

    Mm naomba ufafanuzi juu ya kujaza kituo unachotaka kuhamia kila nikijaza nabiwa kuwa kituo ulichojaza hakipo kwenye orodha yetu je unaipataje hiyo horodha ya watu wanaohitaji kubadilishana vituo
  5. G

    JamiiForums Tanzania Mdhara ya mtoto kunywa maji machafu akiwa anazaliwa

    Asanteni wapendwa
  6. G

    JamiiForums Tanzania Mdhara ya mtoto kunywa maji machafu akiwa anazaliwa

    Kwa mwenye ufahamu please naomba jibu
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kitambulisho cha bima ya afya

    Unalipia elfu 20000 na kujaza tena taarifa kama ulivyokuwa umejaza katika ofice za bima
  8. G

    JamiiForums Tanzania Mdhara ya mtoto kunywa maji machafu akiwa anazaliwa

    Ni madhara gani anayopata mtoto aliekunywa uchafu wa akiwa anazaliwa
  9. G

    JamiiForums Tanzania Jibu hesabu yangu, wengi mtafeli hapo

    90
  10. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini iwekupatwa kwa Jua na siyo kupatwa kwa Dunia?

    Jamani ufafanuzi zaidi juu ya hili kunamkanganyiko hapo tufundishe kipi sas?
  11. G

    JamiiForums Tanzania Ijue mikoa inayoongoza kwa ngono zembe

    Mtoa mada ajue na kile anachokiongelea kinahusu nn hasa
  12. G

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kupata H+

    Asante chief
  13. G

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kupata H+

    Naomba mnisaidie namna ya kupata H+ katika simu aina ya tecko j5 huwa inaandika 3G tu
  14. G

    JamiiForums Tanzania Kati ya Tecno H6 na Huawei Y600 ipi ina ubora?

    Teckono H6 ndio mpango mzima.hata specification zake na uwezo wake unaonesha tofauti na vimeo vya huawei
Back
Top Bottom