Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,277
Si ukate rufaa..!Hapo kwa Pemba hapana jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Wapemba wanapenda sana hii michezo
Si ukate rufaa..!Hapo kwa Pemba hapana jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Wapemba wanapenda sana hii michezo
Mnh!!mbona kama umepaniki kaaba wewe?!Si ukate rufaa..!
Nimekupa njia rahisi ya kupinga takwimu...!Mnh!!mbona kama umepaniki kaaba wewe?!
Tigo wakikushitaki?Nimetumia tafsida tigo -kwa lugha ya mjini ni mapenzi kinyume na maumbile mkuu
Anamanisha ile tigo nyingine mkuu inapatikana kwa jinsia zoteMtandao wa simu wa TIGO unahusiana vipi na tafirti hizi za ngono zembe??? Pls tuelimishe kidogo!!
Unaongelea ngono zembe au unaongelea takwimu za maambukizi??
kuongezeka kwa maambukizi ni matokeo ya ngono zembe.Unaongelea ngono zembe au unaongelea takwimu za maambukizi??