Recent content by GABE100

  1. G

    JamiiForums Tanzania Polisi sasa wawa public enemy

    Matukio yanayoendelea kati ya polisi wa Tanzania na raia yanaashia kuwa polisi wanachukuliwa kama maadui na wananchi mfano jana katika tukio la kiwanda kilichopo Dar es salaam badala polisi kupokelewa na raia kwa mikono miwili walipokelewa kwa mawe. Ukipata mitaani polisi wanaonekana kama vile...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kuna nini? kwanini UDSM tu?

    Katika awamu ya nne ya uongozi ya urais ya uongozi wa Tanzania kumetokea wimbi la kuteua wahadhiri wa chuo kikuu cha Dar es Salaam katika nafasi mbalimbali za uongozi wa kisiasa, mfano waziri wa nishati na madini Sospeter Muhongo, Mwajabu Possi (mwenyekiti wa bodi ya TBC), Rose Migiro (mkuu...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi Chuo Kikuu Mlimani Wanaenda Twisheni

    aiseeee si umetajiwa hapo juu
  4. G

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi Chuo Kikuu Mlimani Wanaenda Twisheni

    acheni kutukana haya ya kweli tuisheni center moja ipo changanyikeni. kubalini ukweli. mi mwenyewe japo nipo kitaa huwa ninwaona
  5. G

    JamiiForums Tanzania Azimio la Arusha: Kuzaliwa upya?

    je ni nani alikuwa waziri mkuu wakati huo je ni nani alikuwa ni waziri wa elimu wakati azimio la arusha
  6. G

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu awataja Majaji wa Kikwete wasio na Sifa (Kazi ndio inaanza)

    tundu lissu ndiye anafaa kuwa rais ajaye badala ya hao akina sijui zitto au slaa au mbowe
  7. G

    JamiiForums Tanzania UDSM- nakubeba hall 6 kwa 190000. First floor block B

    kwa mwaka au kwa semester mwana?
  8. G

    JamiiForums Tanzania kama mkazi wa dar na umechaguliwa kujiunga na chuo

    kwa wale wanachuo wakazi wa dar es salaam waliobahatika kupata vyumba vyuoni au hostel ninatafuta mtu wa kuniuzia room au kunibeba si mnajua accomodation shida katika vyuo vyote vya dar. niko tayari kutoa fedha kuanzia tsh 100000
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kwa aliyepata chumba Main Campus UDSM!!! (soma hapa)

    mkubwa ukifanikisha main campus uniachie hicho cha ardhi.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Picha za MNYIKA akitolewa nje ya Viwanja vya Bunge

    Wabunge wa cdm na wengine wasiopenda kujipendekeza msirudi nyuma na sisi wengine tuwatie moyo kwani wanafanya hivyo kwa niaba yetu.
  11. G

    JamiiForums Tanzania BAVICHA Arusha wamtembelea Mjane wa Marehemu Msafiri Usa- River

    Mfano wa kuigwa.
  12. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA muache uchokozi!

    Ni vile polisi ni vilaza la sivyo wangewachukulia hatua hao waliowapa taarifa za uongo.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Wabunge wengi wa CHADEMA wameficha CV zao kwenye tovuti ya Bunge

    Tunashindana kutukanana? Au tunaondoana mashaka? Kama kuondoana mashaka tungempa m2ma posti fact ana vielelezo , tunashindana kuposti thread nyingi? Au tunaposti thread ili kuelimshiana na kuhabarishana? Maana kama ni kuelimishana na kuhabarishana hii thread haina maana b,cause huwezi kusema...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Kama sio DR. Slaa, Godbless Lema ndiye Rais 2015

    Una mawazo mgando.
Back
Top Bottom