CHADEMA muache uchokozi!

Ubunifu, ujasiri na viwango tofauti vya kufanikisha malengo yao uliofanywa na hao vijana umenifurahisha. Cheek in tonguoe jamaa kaita uchokozi (ingawa nadhani mtoa mada yabidi arekebishe taarifa yake ni mahafali ya vyuo gani badala ya kutaja tu CDM).

vyuo vilikuwa ni Mzumbe, sua, Jordan-saut university na morogoro muslim
 
CCM wanafanya biashara na CDM waliwapa CCM fedha sasa wewe ulitakaje mkuu?? hapo hakuna uchochezi ni kuuza na kunuua tu.
 
Hakuna uchokozi hapo CCM wamezidiwa ujanja na Chadema.

Mkuu naona unaanza kubadilika taraatiibuuu... Okay, sio mbaya kwani ccm sio mama wala baba yako, karibu T 2015 CDM...
 
Back
Top Bottom