Kwa aliyepata chumba Main Campus UDSM!!! (soma hapa)

Apollo

JF-Expert Member
May 26, 2011
4,920
3,220
Wakuu, nawaomba yoyote ambaye amepata chumba main campus UDSM (for Boys), aniPM nipo tayari kununua chumba kwake au kukaa naye pamoja.

Nilipata chumba Ardhi Univ, ila naona ni mbali na Campus ambapo huwa mizunguko yangu ndio ipo sana mfano Maktaba na Maabara.
Natanguliza shukrani.

N.B- Itakuwa historia kwa wanaJF kukaa pamoja, room moja.
 
Au kama kuna mtu wa Ardhi main campus nipo tayari kubadilishana naye.
 
Dah! Kaka mimi ninamtafuta dada mrembo sana,yani matata wa mwaka wa pili nimbebe.ninataka joto bwana,nimechoka kuishi na masela geto.hata hivyo kuna mshikaji kapata chumba maeneo ya msasani ila bei yako,miezi 6 ninanunua stalet mpyaaa, kama utapanga nae poa coz anatafuta m2 ambebe.wewe shda si chumba bhana?
 
Achana kabisa na maswala ya kununua chumba nimesikia ukikamatwa unauza au kununua chumba utaitiwa important document kwa mshauri wa wanafunzi. Nakusahuri utafute pa kupanga msewe, ubungo au changanyikeni. Ila hapo survey kuna hostels karibu na mlalakua
 
Mkuu, hizo biti tu, zilikwepo na zinaendelea kuwepo. Sasa wanafikiri tutaishije? first ni vigumu kumgundua mtu kama amekaa chumba ambacho sio chake, labda mtu awe mshamba tu. Halafu wanaouza vyumba ni hao hao wakuu.
 
Back
Top Bottom