Polisi sasa wawa public enemy

Polisi sasa wawa public enemy

GABE100

Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
51
Reaction score
2
Matukio yanayoendelea kati ya polisi wa Tanzania na raia yanaashia kuwa polisi wanachukuliwa kama maadui na wananchi mfano jana katika tukio la kiwanda kilichopo Dar es salaam badala polisi kupokelewa na raia kwa mikono miwili walipokelewa kwa mawe.

Ukipata mitaani polisi wanaonekana kama vile sio maadui. Hali kwa kiasi kikubwa kimesababishwa na vitendo vya polisi kuminya haki za raia.
 
kazi kweli kweli,

inamaana wananchi wanakombolewa na hao wa kina Bin Abdullah ?.
 
Polisi hawagomewi hivyo.

Ila kwa kutohudhuria kituoni kwa ishu yoyote ile hata kama umebakwa usiende.watajua kweli wananchi wameukataa umuhimu wao.
 
kwanza nawashauri watz wenzangu tugomee ishu ya ulinzi shirikishi na kutangaza uadui na polisi wote

ww ni mpumbavu uliyelewa amani na hujui unachokiongea,tena ww sio mtanzania sisi watanzania hatujazoe uadui huo unaojaribu kuupandikiza kwetu,tutangaze uadui na polisi halafu nani awe anatulinda pindi tunapokuwa tumelala?
 
Huo uovu wa polisi mnau exaggerate Sana!
 
Mnachukua polisi na wakati wengine ni wazazi waliowalea au ni watoto wenu mliowasomesha wawe hao mapolisi. Kila binadamu ana mapungufu yake. Alaf kumbukeni kuwa wanfuata amri za viongozi wao.
 
ww ni mpumbavu uliyelewa amani na hujui unachokiongea,tena ww sio mtanzania sisi watanzania hatujazoe uadui huo unaojaribu kuupandikiza kwetu,tutangaze uadui na polisi halafu nani awe anatulinda pindi tunapokuwa tumelala?
We kweli maku yaani polisi wanakulinda wewe wakati umelala ?mimi binafsi siwapendi polisi na sina namba hata ya polisi,na kwenye kiusafili changu kwa kweli huwa simpi lift polisi.yote kwa yote siwapendi tu ila sina cha kuwafanya.ila waache wajifanye wajanja tu.
 
ww ni mpumbavu uliyelewa amani na hujui unachokiongea,tena ww sio mtanzania sisi watanzania hatujazoe uadui huo unaojaribu kuupandikiza kwetu,tutangaze uadui na polisi halafu nani awe anatulinda pindi tunapokuwa tumelala?

Hivi polisi uwa wanatulinda tunapokuwa tumelala? Nilikuwa sijaijua hii!!!!

Tiba
 
Tatizo la Tanzania ushamba mwingi na hatuangalii wenzetu wanafanyeje pia tujaribu kuiga yale mazuri... Swala la kuwapa nguvu nyingi polisi ni ujinga, wana-abuse power hawa jamaa si mchezo... Angalia nchi kama US, kuna units nyingi, wapo Polisi wa kawaida, FBI, kuna Internal Affairs, units zote zinazidiana nguvu, na moja akitumia power yake vibaya unit nyingine inaweza kumchukulia hatua na akafutwa kazi au kufungwa.. Polisi kama hawa wanaopiga watu ovyo, ingekuwepo unit nyingine ya polisi ambayo inakua kama polisi wa polisi, yani wanakamata polisi na kuwashughulikia kisheria... Huu ujinga wote tungekua hatuna, kuwepo ngazi moja ambayo ina nguvu yote afu hamna nyingine inayowaangalia wakikosea ni system ya kijinga sana, hawa jamaa wasomi sijui hizo phd walizichukulia wapi kila kitu wanafanya ovyo...
 
hebu waTz tukae chini na kifikiria kwa mara nyingine tena. hawa polisi. hawana kosa, ila huyo waziri aliyewatuma wakapige watu ndiye mwenye makosa maana haohao polisi, kipindi wanapewa hiyo kazi, waliapishwa kufuata sheria kutoka uongozi wa nchi.
 
Back
Top Bottom