UDSM- nakubeba hall 6 kwa 190000. First floor block B

Vip huko,kuna jamaa kaniambia kubebana eti ni noma,sb ulipigwa mkwala,ya kweli hayo au?
 
Ila watu siku hizi mna tamaa! Wnzi za mwalimu tulibebana kwa hiari na bila kulipishana. Tena kisa mtu yuko off campus tu, anakaa na mshkaji main campus.
Haya bwana, biashara njema.
 
Nimeshanunua godoro kwa waden nitaliweka pale hall 6 kwa fundi cherehan
 
acha ubinafc msaidie yeyote ujiwekee deni kwa muumba.nakumbuka nilipata chance ya kusoma udsm engineer na ardhi univercity nikadecide kwenda ardhi, so room niliyopata hall3 ud nikampa shosti1 tena free of charge so ucwe mbinafc wekeza u never know
 
mwaka huu watu hawana huruma kabisa kwa nini msichangie kodi tu wewe na huyo unayembeba...msaidie huyo kiongozi hapo juu mwenye 150,000...
 
ntakununulia room dear. Halafu kuanzia leo we mpenzi wangu

Haya ndio matatizo ya watu ambao wanaanzisha uzi kwa kutafuta mademu.

Sasa mkuu, hujaona maswali yetu umeona la huyu dada tu au?

Maana ya huu uzi ni nini?
 
Wenzenu huku UDOM ni raha kwa kwenda mbele, hostel zipo za kumwaga, kila chumba ni watu wawili tu na blocks kibao zimekosa watu wa kukaa, zipo tupu! Huko mbele kila mtu atapata chumba chake maana haya mahostel yote yatakaa bure hadi lini?
 
Back
Top Bottom