Bungeni kuna mambo ehn, hao jamaa wamevaa groves za nini?
Ule ulikuwa ushauri wa bure kabisa kwa kijana mwanasiasa Mnyika.
masopakyindi una nidhamu ya uoga, na watu kama wewe ndio mnaochelewesha mabadiliko, ni afadhali kuwa na mnyika mmoja kuliko kuwa na watu kama wewe elfu moja, hovyo kabisa!
ufisadi juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,ufreemason wa ccm juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,wauwaji wa ccm juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,2015 ccm byeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,majambazi wakubwa na rais wenukikweeeeeeeeeeeeteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ccm juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuup, juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuup , juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuup
another pumbaman[/QUOT
Sikulaumu ndivyo ulivyo.
Hao wanafanya kazi ya kuzoa takataka Bungeni.
MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
msikubali kunenepeana wabunge wa CDM...unene unaleta kufikiri kudogo sana...waandgalieni wenzenu wanavyopata shida kusoma na kutafakari...mengine yamelala tu...ungalia wewe baba mwepesi hata kufikiri baba...CDM juuuuuu
Naomba kutofautiana nawe katika hoja hii kama ifuatavyo:
Wabunge wanaeleweka kama ni professional katika uwanja wao. Tofauti na wengi ambao tunapongeza hatua ambayo Mnyika amefanya kwani haijaonyesha kitaaluma na kitaalamu hoja pamoja na kuwa na uzito kutoiwasilisha kama professional member.
Mnyika ni msomi na anajua fika namna ya kujenga hoja na kuchagua lugha ya kufkisha ujumbe, lakini kwa namna na hisia aliyokuwa nayo amepitiliza kiwango ambacho angetazamiwa kufanya. Ukisema unaenda kujisaida (restroom) na mwenzako akasema anaenda kunya au kukojoa (samahani kwa lugha hiyo) nadhani maana ni moja lakini inatoa taswira tofauti kwa atakayawasikia. Wote mnaenda kufanya kitu kilekile lakini matumizi ya lugha yamenya mtofautiane kimtazamo na kistaarabu kutokana na uwezo wa kufikiri haraka na kuchagua lugha ya kutumia.
Pamoja na kwamba walio upande wa Mnyika wamejiridhisha kwamba Mnyika kasema ukweli, lakini kwa wenye busara na hekima watakuambia Mnyika ameteleza katika kufikisha hoja yake kwa kukosa ubunifu wa kuchagua lugha sahihi ya kutumia katika bunge tukufu na kwa namna ye yote amekiuka taratibu za matumizi ya lugha inayotakiwa kutumika bungeni.
Mimi si mtu wa kufuata upepo sababu ya kile moyo ukipenda, ula ukweli uendane na ustaarabu, elimu na busara katika maisha, mahusiano na shughuli za kila siku. Kama ni shauri ya kuropoka tu kila mtu afanye hivyo nadhani tusingekuwa hapa tulipo.
Tunapaswa kuwajenga hawa watu na kujitahidi kuwakosoa wanapoteleza, isiwe kila wafanyavyo hata kikikosa hekima na busara ni kusahbikia tu kama timu ya nyumani hata kama mtu kafunga goli mpira wa miguu kwa mkono, hii imekaaje?
Mkuu unachosema ni sawa ila lazima uangalie mazingira yaliyopelekea kutolewa kwa kauli hiyo! Bunge letu tukufu limepoteza weledi na ndo maana unasikia mipasho+kejeli za kila aina na si ujengaji wa hoja! Katika mazingira hayo huna namna ila "to call a spade, a spade"! Ukitilia maanani ni kodi yangu mie niliyepigika kimaisha hivi ndo inawalipa posho, sina namna ila kukubaliana tu na Mnyika!
what d you mean yaani mnyika ni takataka ?
Nimesoma ktk mtandao kwani vipi?
Mkuu unachosema ni sawa ila lazima uangalie mazingira yaliyopelekea kutolewa kwa kauli hiyo! Bunge letu tukufu limepoteza weledi na ndo maana unasikia mipasho+kejeli za kila aina na si ujengaji wa hoja! Katika mazingira hayo huna namna ila "to call a spade, a spade"! Ukitilia maanani ni kodi yangu mie niliyepigika kimaisha hivi ndo inawalipa posho, sina namna ila kukubaliana tu na Mnyika!
kwa mafanikio yyt ktk maisha ni matokeo ya matumizi mazuri ya ulimi.
Mkuu unachosema ni sawa ila lazima uangalie mazingira yaliyopelekea kutolewa kwa kauli hiyo! Bunge letu tukufu limepoteza weledi na ndo maana unasikia mipasho+kejeli za kila aina na si ujengaji wa hoja! Katika mazingira hayo huna namna ila "to call a spade, a spade"! Ukitilia maanani ni kodi yangu mie niliyepigika kimaisha hivi ndo inawalipa posho, sina namna ila kukubaliana tu na Mnyika!
Give me a break dear brather and comrade there is no way one can tolorate what is going on now in our country while the Honorable presedent and the security organs like usalama wa taifa are totaly sleeping without any action. Kwa niaba ya mnyika namwomba radhi sana rais wetu kwa kweli kama ameudhika kitu ambacho sidhani kama kwa upande wake kipo ila kwa wapambe wake tena wale NUKSI tuu na ndiyo maana nimesikia yupo dodoma tusubirie huenda ameshatafakari na hatua thabiti na sahihi zitafuata kwa wale wote waliomwangusha kiasi hicho mpaka kusemwa vibaya BUNGENI.
Ahlan Wasaalan...Shukran sana unapozungumzia maswala ya bunge na udhaifu wa wabunge ktk utoaji hoja na wala hujawatukana. Hili kwanza ulifahamu na nimekuewa vizuri ulipoyasema yote japokuwa wao wanaweza kabisa kusema umewatukana. hapakuwa na lugha yoyote ungeitumia kutafsiri vitendo vinavyofanyika Bungeni.Mkuu wangu, waheshimiwa hawajikiti katika kujenga hoja, mipasho, majibizano na ushindani ndio vilivyotawala katika bunge. Unless kama ulisikiliza mwenyewe ila ni kazi sana kucomment, kwa kuwa vyombo vya habari vinaandika kwa upande vinavyoona sawa, na ni the same applies kwenye hii mitandao.
Mkuu wangu, si upinzani, si chama tawala isipokuwa wachache sana, hawajadili bajeti ila wamegeuza bunge kama ni sehemu ya kampeni ama ya kuombea kura. Mkuu wangu mkandara hakuna nidhamu kabisa bungeni, nimeweka post moja juu ya msigwa, anawasha kipaza sauti wakati wabunge wengine wanaongea, ilibidi naibu spika amshitaki kwa wapiga kuwa wake. Ukiangalia alichofanya mnyika ni mashindano ya kitoto naweza kusema, it was so simple baadaya kufahamishwa na kanuni kuwa si sahihi kwa mbunge kumuattack rais tena kwa jina lake, kama angekuwa matured na kwa faida ya wapiga kura wake, angeodoa ile kauli ili aweze kufikisha message ya wapiga kura wake, sio kusema SIFUTI ule ni ubabe wa mitaani.
Kwa hiyo mkuu wangu, habari za bunge zichuje vyema kabla hujachangia zina mgogoro sana.