kama mkazi wa dar na umechaguliwa kujiunga na chuo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kama mkazi wa dar na umechaguliwa kujiunga na chuo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by GABE100, Oct 4, 2012.

 1. G

  GABE100 Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa wale wanachuo wakazi wa dar es salaam waliobahatika kupata vyumba vyuoni au hostel ninatafuta mtu wa kuniuzia room au kunibeba si mnajua accomodation shida katika vyuo vyote vya dar. niko tayari kutoa fedha kuanzia tsh 100000
   
 2. QUALIFIED

  QUALIFIED JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: Jun 13, 2012
  Messages: 747
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  iv kumbe laki kuna mtu anaweza kutumia kama accomodation
   
Loading...