Recent content by g_ndete

  1. g_ndete

    Natafuta chuma za shelves

    Kwa mwenye chuma hizo zinazo onekana pichani, au mwenye kujua wapi zinapatikana pamoja na bei, Msaada tutani
  2. g_ndete

    Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    Msaada kila nikiweka taarifa za chuo napata ujumbe huo
  3. g_ndete

    Wazo La Biashara

    . . .freelancing ni moja ya mkombozi wa changamoto ya ajira kwa vijana, shida ni uelewa bado upo chini juu ya hii kitu, serikali haina sera nzuri ku support hili.
  4. g_ndete

    Watanzania au ndugu wanaoishi South Africa kuweni makini

    . . .poleni wa tz mlioko SA wakati huu,
  5. g_ndete

    Naitabiria EP ya First Of All ya Diamond Platnumz kuvunja rekodi mbalimbali Afrika

    . . .inaanza oka nyingine ndio zinafuata
  6. g_ndete

    Kilimo cha Viazi Mviringo (Viazi Ulaya) na Masoko Yake

    . . .karibuni kwa viazi toka Njombe, Kwa atakaye kuwa na uhitaji ktkt ya mwezi wa kumi mwaka huu
  7. g_ndete

    Kilimo cha Viazi Mviringo (Viazi Ulaya) na Masoko Yake

    . . .kwa mahitaji ya Viazi kutoka Njombe, viazi aina ya Sanghita . . . tunatarajia kuanza kuvuna katikati ya mwezi wa 10 mwaka huu. Karibu tuzungumze Dm kwa mawasiliano
  8. g_ndete

    Jamal Mustafa wa Wasafi Media ni moto wa kuotea mbali

    Mtiga ni msimuliaji bora, Ila Jamal ni muandaaji bora wa simulizi.
  9. g_ndete

    Profesa Muhongo: Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati

    Sisi ni watu wa ajabu sana, kipindi mzee yupo haya tunayo yapinga leo yalikua na mantik nzuri, ila leo yamekosa uhalisia kabisa. Kuna watu wanajaribu kujitengenezea popuparity walio ipoteza,
  10. g_ndete

    Msaada juu ya kombi ya kusoma

    [emoji1][emoji1][emoji1]
  11. g_ndete

    Msaada juu ya kombi ya kusoma

    Kaka umeona mbali, kama akikuelewa akafata ulicho mwambia, hata juta baadae. Kikubwa kikubwa jitafakari unapenda hudumu kwa kufanya kitu gani, nenda kachukue diploma ya hiyo fani. Kila la kheri
  12. g_ndete

    Serikali Iongeze nguvu kwenye masomo ya Hisabati na fizikia

    Mara nyingi kila matokeo yanapo toka ndio tunashtuka na tunaanza kuangalia nani kakosea nini au nini kimekosekana wapi, ila swala la Elimu hatuwezi kulitatua kwa kuliangalia kwa vipande vipande yaani kama tuamue kutatua kwa labda kuongeza waalimu wa masomo yenye ufaulu mdogo au kuamua kuongeza...
Back
Top Bottom