Kaka umeona mbali, kama akikuelewa akafata ulicho mwambia, hata juta baadae.Kwa ufupi tu, advance ni sehemu ya kupotezea muda. Nenda chuo kachukue diploma ya kitu unachotaka kukisoma.
Achana na kusoma wekeza kwenye biashara baada ya miaka 6 mbele utanikumbuka![]()



Language niko poa kaka kwa HGL sina shida ni kukaza tuYes, soma HGL.
Ila utatakiwa kukaza kwenye language, kama unajijja ni mvivu sana kwenye Language soma HGK.
Yap sasa naelewa cha kufanya shukran
Samahan naomba kujuzwa, score zako za BAM na G-study nazo zinawekw kwny cheti cha form6HGE wakati ana F ya hesabu. BAM atawezana nayo ??
Ndio zinawekwa ila hazihesabiwi kwenye dvnSamahan naomba kujuzwa, score zako za BAM na G-study nazo zinawekw kwny cheti cha form6
Exactly 💯Ndio zinawekwa ila hazihesabiwi kwenye dvn
Anakupoteza huyu. Kwenda hge wakati una mswaki wa math ni sawa na kujaribu kubeba junia la kg 100 wakati uzito wako ni kg 40..Nenda hge haijalishi ina math kapige hivyo hivyo mm Kuna jamaa zangu olevo walipata f ya math advance wakaenda hge japokuwa iliwapa shida kidogo lakin wlipambana wakapata d zao sasa hivi chuo wanafurahia course zao chengine bam ni math ya olevo yote unataka uniambie ww olevo ulikuwa unaapata ziro math nenda kasome hge pambana usiigope bam mm nimesoma hgl lakini Kuna kipindi najuta kwa nn sikusoma hge kwa sababu wakati najiandikisha advance nilijaza hge lakini baadaye nikakimbia nikaenda hgl baada ya kusikia hge Kuna bam lakini nilivyokuwa nawaona wana wa hge na wenyew bam hamna kitu wanalalamika balaa bam advance ni somo la ziada tu Kama gs Kuna kipindi nasikia waliacha kupiga penat mm navyojua wanaangalia comb yako imebebwa na masomo nenda hge usiiogope bam dg ukisema uikimbie bam utajuta kwa sababu siku hz Hadi vyuoni kusoma hesabu ni lazima kwa Kila course yaani namaanisha lazima utakutana na masomo ambayo Yana uhesabu ndani yake kwa hiyo Anza kuandaa misingi mapema nenda hge kwa sababu hge inauwanja mpana kidogo kwenye uchaguz wa course vyuoni tofauti na hgl,hgk na hkl njoo pm nikushaur vzr
Wwe ndo unayempoteza dogo unamtengenezea hofu hamna watu wanaosoma hge na wanamiswaki olevo alafu chengine nakushauri dg kupata one hge ni kazi rahisi kuliko hgl kwa sababu advance kupiga uchumi A au B no kawaida ila language unaweza ukapiga A olevo advance ukatoka na d Kama unasoma hgl na advance language hkl ndo wanaiweza Sana tofauti na hgl nimekuambia nenda hge kwa sababu ukipata E yako ya bam tayar umeula Tena na Kama umepiga one utakuwa unafaida kubwa kwenye uchaguzi was course chuoni alafu hesabu Sasa hivi kila sehemu zipo chuoni hata watu wanaosoma course za kawaida wanapiga hesabu usimsilize huyu kichwa hamna anakupoteza na nahisi ndo wale wakati wanasoma walikuwa wanajifanya mabingwa wa kiswahili shuleniAnakupoteza huyu. Kwenda hge wakati una mswaki wa math ni sawa na kujaribu kubeba junia la kg 100 wakati uzito wako ni kg 40..
HAKUNA kozi mbaya, soma ile unaweza kumudu
HKLNaombeni msaada jamani comb gani mngenishauri kusoma nilianza kufanya mtihani wa QT 2019 then mwaka jana nikafanya CSEE 2020 Mungu amesaidia nina Dvn 1:12 lakini natamani kusoma CBG advance nipeni ushauri kwa ufaulu huu naweza kusoma CBG mbali na Hiyo ni comb gani mngenishauri nisome kutokana na ufaulh wangu.
Matokeo ni haya hapa.
Civ 'B' Hist 'A' Geo 'B' kisw 'A' eng 'A' literature in Eng 'B' phy 'F' chem 'D' Bios 'C' B/Maths 'F'.
Nasubiri mrejesho nategemea nitashauriwa vizuri asanteni.
Sure that's a good ideaBasi nichukue HGL maana HGE siwez nina F ya maths
Hgl or hkl are your best optionsSure that's a good idea
Umepataje division 1 na F ya Math?Naombeni msaada jamani comb gani mngenishauri kusoma nilianza kufanya mtihani wa QT 2019 then mwaka jana nikafanya CSEE 2020 Mungu amesaidia nina Dvn 1:12 lakini natamani kusoma CBG advance nipeni ushauri kwa ufaulu huu naweza kusoma CBG mbali na Hiyo ni comb gani mngenishauri nisome kutokana na ufaulh wangu.
Matokeo ni haya hapa.
Civ 'B' Hist 'A' Geo 'B' kisw 'A' eng 'A' literature in Eng 'B' phy 'F' chem 'D' Bios 'C' B/Maths 'F'.
Nasubiri mrejesho nategemea nitashauriwa vizuri asanteni.
Kasome HKL achana na sayansi utafaulu vizuri nduguNaombeni msaada jamani comb gani mngenishauri kusoma nilianza kufanya mtihani wa QT 2019 then mwaka jana nikafanya CSEE 2020 Mungu amesaidia nina Dvn 1:12 lakini natamani kusoma CBG advance nipeni ushauri kwa ufaulu huu naweza kusoma CBG mbali na Hiyo ni comb gani mngenishauri nisome kutokana na ufaulh wangu.
Matokeo ni haya hapa.
Civ 'B' Hist 'A' Geo 'B' kisw 'A' eng 'A' literature in Eng 'B' phy 'F' chem 'D' Bios 'C' B/Maths 'F'.
Nasubiri mrejesho nategemea nitashauriwa vizuri asanteni.
Kwa ufaulu wako ni wazi umefaulu vizuri languages and arts subjects. Sioni kwa nini unataka CBG ambayo itakulazimisha upambane na BAM . CBG ukichukua degree zote za afya unazimwaga automatically- je umelifikiria hilo? Ushauri wangu tafuta combi nzuri ya arts ukapambane huko. All the best.Naombeni msaada jamani comb gani mngenishauri kusoma nilianza kufanya mtihani wa QT 2019 then mwaka jana nikafanya CSEE 2020 Mungu amesaidia nina Dvn 1:12 lakini natamani kusoma CBG advance nipeni ushauri kwa ufaulu huu naweza kusoma CBG mbali na Hiyo ni comb gani mngenishauri nisome kutokana na ufaulh wangu.
Matokeo ni haya hapa.
Civ 'B' Hist 'A' Geo 'B' kisw 'A' eng 'A' literature in Eng 'B' phy 'F' chem 'D' Bios 'C' B/Maths 'F'.
Nasubiri mrejesho nategemea nitashauriwa vizuri asanteni.
Matokeo si hayo hapo piga hesabu au?Umepataje division 1 na F ya Math?
Ukipata F ya Math hata kama una point 7 ni Division 3Matokeo si hayo hapo piga hesabu au?