Natafuta chuma za shelves

Natafuta chuma za shelves

g_ndete

Member
Joined
Feb 14, 2018
Posts
35
Reaction score
17
Kwa mwenye chuma hizo zinazo onekana pichani, au mwenye kujua wapi zinapatikana pamoja na bei,
Msaada tutani


Screenshot_20230831-152414_Pinterest.jpg
 
Kuna mtu aliwahi kunambia yeye alinunua mtaa wa Mchikichi pale Kariakoo kama upo dar. Hata mimi nazihitaji ila sijapa mda wa kwenda kuangalia kwa kweli. Ukibahatika kwenda naomba unijulishe mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom