Zamani mtu mbumbumbu alikua anaitwa kibonde,,ss mtu mwenye jina hilo anakupa presha gani? He is a trash na kibaraka wa chama cha wapppppzzzzz na kiongoz wao dhaifu.ptuuuuuu!
Uko sahihi mkuu huyu jamaa hata hilo jina sio la kwake inasemekana alinunua cheti cha std seven jina lake halisi ni Mulungu wakazi wa mbeya fuatilieni hili mtupe data zake maana ubabaishaji umezidi hii serikali ya baba mwana asha.
Wanajamvi nina mtoto wa miaka kumi na ninataka kufungua private company,je wanahisa tunaweza kuwa mimi na yeye tu? Au ni lazima niwe na mtu mzima? na je kama inawezekana kwa sisi wawili yaani mimi na mtoto wangu ninatakiwa nifanyeje na inakuwaje taratibu zake? Naombeni msaada wenu tafadhali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.