Recent content by Fundisi Muhapa

  1. Fundisi Muhapa

    Pongezi kwa kampuni na uongozi wa Kilimanjaro Express kwa kuanzisha route mpya ya Nyanda za juu kusini

    Kwani hizo KLM express si ndio zilikua zinaitwa Sawaya enzi hizo? Na mmiliki wa sasa mbona wanamuita Sawaya pia?
  2. Fundisi Muhapa

    Najuta kuoa

    Unadeka halafu una maisha ya muvi. Huyo mke hana neno. Unataka kushukuriwa mno. You are a disgrace!
  3. Fundisi Muhapa

    Unajisikiaje kuwa na mwanamke mwenye 'Wigi'

    Huwa nasisitiza sana mawigi yanaongeza mapepo kwa wanawake. Angalieni wanaodondoka kwa TBJ Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Fundisi Muhapa

    Ya Said Fella, Ruge na washindwa....

    Game ni ya 2007 huko Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Fundisi Muhapa

    Sanamu la KEMET huko Misri

    Historia ya binadamu inaanzia Afrika. Olduvai.
  6. Fundisi Muhapa

    Kwanini Migahawa ya Wakristo Tanzania haina chakula kizuri?

    Sikua najua kuhusu Matoke India. Nafahamu tu kuwa ndizi kwa ujumla zilitokea Amerika ya Kusini. Kwetu kupitia watu wa Asia au labda ndo hao wahindi. Kitaaaambo sana kabla ya ukoloni
  7. Fundisi Muhapa

    Kwanini Migahawa ya Wakristo Tanzania haina chakula kizuri?

    Naomba nihuishe hii mada. Ni kweli watu wa pwani - wengi wao waislamu ambao ni utamaduni wa waarabu - wana mapishi bora zaidi. Hiyo ni kwenye michele na ngano. Wana uzoefu wa miaka zaidi ya 10,000 kwenye mazao hayo. Asilimia labda zaidi ya 70 ya nafaka na nyama tunazokula duniani chanzo chake...
  8. Fundisi Muhapa

    Uzuri wa Mh Kikwete anao marafiki wengi duniani

    Ukiandika haya ile video ilikua haijatoka. CCM ni chama cha maovu. JK aliruhusu yawepo na sasa Magu nae hvohvo
  9. Fundisi Muhapa

    Tunajiremba kwa pesa zetu, kinachowaumiza wanaume ni kipi?

    Mnajiremba mnakua kama majini. Ndo maana kwa TB Joshua wenye kuvaa mawigi waanguke mapepo. Mawigi yana matatizo si bure
  10. Fundisi Muhapa

    Kesi ya kughushi vyeti iliyofunguliwa na Boniface Jacob dhidi ya Paul Makonda kuanza kusikilizwa leo

    Kumbe ni yy alikurupuka kuzuia sukari nje bila kuangalia uzalishaji wa ndani.
  11. Fundisi Muhapa

    Rushwa ni donda ndugu ndani ya CCM

    Na wale watu Gambo aloambiwa awaite walipewa nini? Ccm ni chaka la uchafu wote
  12. Fundisi Muhapa

    Naomba kuifahamu CV ya Juma Nkamia

    Walimfukuza ule msimu wa vilaza
  13. Fundisi Muhapa

    Naomba kuifahamu CV ya Juma Nkamia

    Yule alikumbwa msimu wa vilaza
  14. Fundisi Muhapa

    Naomba kuifahamu CV ya Juma Nkamia

    Yule si alikua kilaza?
  15. Fundisi Muhapa

    Naomba kuifahamu CV ya Juma Nkamia

    Aibu. Wahitimu wa mwendokasi
Back
Top Bottom