Naomba kuifahamu CV ya Juma Nkamia

We ni kenge sana aisee!! Nkamia anawasilisha ombi la kubadili katiba ili Yohana aongezewe miaka miwili zaidi iwe saba kwa kipindi kimoja!! Mleta mada anataka kujua ufaham wa huyu kumbikumbi hadi awe na wazo la kipumbavu namna hii. Katiba inatuhusu wote sio mali ya ccm. Nakushangaa we kenge unavyodai eti mleta mada anahangaika na mambo yasiyomhusu!!
Majibu ya kibavicha haya.
Ukipata cv ya mtu itakusaidia nini wewe?Mbowe ni div 0,lakini anawaburuza hata maprofessor huko chadema
Jadilini hilo la kuongeza katiba sio kujadili watu
 
Majibu ya kibavicha haya.
Ukipata cv ya mtu itakusaidia nini wewe?Mbowe ni div 0,lakini anawaburuza hata maprofessor huko chadema
Jadilini hilo la kuongeza katiba sio kujadili watu
Topic ni CV ya Juma Nkamia mkuu , jitahidi kujikita kwenye mada .
 
Bungeni kuna watu wawili pekee kupata historia za elimu zao ni kazi sana Mbowe na Nkamia,wengine wote zinajulikana mf Kibajaji ,Musukuma na Kubenea ukiwaambia kuspell Comprehensive au waachie ubunge watachagua kuachia ubunge
Hahahaa wejamaa wewe.
 
Basi inatosha jamani,ukichukulia hii lugha sio yetu tuwasamehe bure...
 
Bavicha mkibanwa na tumbo la kuhara mnakimbilia kutafuta cv za watu.
Hebu weka kwanza cv ya Mbowe kabla hujatafuta cv za wabunge wa chama kisichokuhusu

Si mnawaambiaga uchaguzi umeisha tusimamie ilani ya CCM vipi tena mnataka chama hakiwahusu?
 
Majibu ya kibavicha haya.
Ukipata cv ya mtu itakusaidia nini wewe?Mbowe ni div 0,lakini anawaburuza hata maprofessor huko chadema
Jadilini hilo la kuongeza katiba sio kujadili watu

Kenge ana tabia zake na zinashabihiana na hizi zilizoandika hapa. Tatizo hujui unachotaka, upo upo tu.
 
Hatimaye ukuu wa JF umeonekana , baada ya kumuanika ameweka mpira kwapani .
 
Back
Top Bottom