Utamu wa chakula hutegemea pia na mlaji. Ni suala la asili ya mtu.Bila kusaha CAFE LAAZIZI na KULAAN RESTAURANT mkuu
Sikua najua kuhusu Matoke India. Nafahamu tu kuwa ndizi kwa ujumla zilitokea Amerika ya Kusini. Kwetu kupitia watu wa Asia au labda ndo hao wahindi. Kitaaaambo sana kabla ya ukoloniMkuu ni kweli juu ya ndizi na mahindi, Latin America hicho bado ni chakula chao kikuu. Unshabatlri kuwa matoke yalitoka India?
Wahindi wanakula kama sisi, mihogo, matoke lakini wanapenda sana jamii ya maharage kulia wali na chapatiSikua najua kuhusu Matoke India. Nafahamu tu kuwa ndizi kwa ujumla zilitokea Amerika ya Kusini. Kwetu kupitia watu wa Asia au labda ndo hao wahindi. Kitaaaambo sana kabla ya ukoloni
kikoje chakula kizuri mimi ukiniwekea biriani na kichuri nachagua kichuri unavyoona muhaya na senene ukimpa pweza haliMimi ni Mkristo!
Katika kusafiri safiri kwangu mikoani, nimegundua migahawa mingi iliyopo kanda ambazo zina wakristo wengi kama Mwanza, Arusha, Mbeya, Kilimanjaro, Iringa n.k. huwa na chakula kibaya sana. Migahawa inayofanya vizuri mara nyingi huwa inamilikiwa na Mama Zena, Hamisa, Hadija, Aisha, Mpemba, n.k. Majina ambayo huwa yana uhusiano na dini ya Kiislamu. Mke wangu ni mpishi mzuri sana, labda kwa sasa alibadiri dini; lakini nasikia wanawake wa kikristo mapishi kwao ni taabu!
Kuna tatizo gani la upishi katika Jamii ya Kikristo Tanzania?
Nadhani hapa kuna mchanganyo wa dini pasipo sababu. Hoja ingepaswa kuwa ufindi wa mapishi wa watu wa pwani, wawe wapagani au wa dini yotote. Kila kanda ina aina yake ya mapishi na pwani wako vizuri maana ukanda wa pwani ndiko kunastawi aina anwai za viungo vya mapishi kama vile nazi, vitunguu swaumu, pilipili manga, mdalasini nk wakati ukanda wa bara milimani ni hoho na karoti pekee.Mabinti wa kiislamu hasa maeneo ya pwani na Zanzibar wanajua kupika hilo siyo siri
Hawa dada zetu wakristu acha wachukie tu huenda likawa somo la kuwafanya wajifunze
Japo wachaga waiga kutoka tanga ila wanakuja juu
Niletee dadako nimpe sausage moja, mayai 2 na maziwa kidogo ashibe kwa muda wa miezi 9!!Mimi ni Mkristo!
Katika kusafiri safiri kwangu mikoani, nimegundua migahawa mingi iliyopo kanda ambazo zina wakristo wengi kama Mwanza, Arusha, Mbeya, Kilimanjaro, Iringa n.k. huwa na chakula kibaya sana. Migahawa inayofanya vizuri mara nyingi huwa inamilikiwa na Mama Zena, Hamisa, Hadija, Aisha, Mpemba, n.k. Majina ambayo huwa yana uhusiano na dini ya Kiislamu. Mke wangu ni mpishi mzuri sana, labda kwa sasa alibadiri dini; lakini nasikia wanawake wa kikristo mapishi kwao ni taabu!
Kuna tatizo gani la upishi katika Jamii ya Kikristo Tanzania?
ila waislamu wengi hawajui kupika supu .supu inachanganywa hadi na maviungo kibao.sasa sijui ni supu au pilau
Supu inayowekewa mpaka mitangawizi hiyo supu tena ni mchuzi tuDah pole sana. Supu ni viungo mkuu