Ni kweli Chama changu kinakwepa sana nafasi kama hizi kutoa ufafanuzi muhimu kwa mambo muhimu yanayojiri.huyo Mkonda hana upeo mpana anapwaya sana kwenye hoja za msingi.
Issue zote amabazo ni tata na muhimu zimepelekwa mahakamani,huko zinachukua muda mreefu bila majibu ya haraka,lengo ni kuzuia mjadala wowote kuhusu madudu hayo.maana utajibiwa hilo swala lipo mahakamani haliwezi kuongelewa na mhimili mwingine.
Jamani kiingereza sio lugha yetu wengi wetu tunajifunza,hata wao wakija kwetu kiswahili kinawasumbua,amefanya kwa uwezo wake na hiyo exposure adimu aliyoipata itamjenga siku zijazo,ni bora tumpe moyo ili siku nyingine akiitwa huko aweze kujumuika kwenye maada kwa ufasaha kwa lugha ya kugeni.
Mmh hiyo comment ya Rev Mzito ni hatari maana sijawahi kuisikia wala kuiwazia .ila nimecheka sana baada ya kuangalia mahusiano ya ubongo na kila koungo cha binadamu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.