Wana Azania tukutane hapa

Davies Davies

Senior Member
May 20, 2013
118
11
Wale tuliosoma shule ya wajanja AZANIA tujuane kupitia hii thread kwa kukumbushana vituko na vijambos vilivyotokea kipindi hicho upo ndani ya shamba la One(Azaboys)...........Tafadhali kama unaona haikuhusu unaweza ukaiacha hii thread kwa inayo wahusu kuliko kuchangia vitu visivyoendana na hii thread
 
Azania ya Ukweli(Division One za kutosha) na wagumu(Wapiga msuli) iliishia labda mwaka 2002.
Baada ya hapo ninaona wengi ni wauza sura, wapata Sifuri, wabana pua, masharobaro nk.
 
Nyie watoto acheni makuzi.....mnaazisha thread ya Aza kumbe mmemaliza 2012

Tatizo siyo kumaliza mwakagani tatizo ni kusoma azania.... Ndiyo walewale nilio wasema kama thread haikuhusu yanini uchangie?!! Kuwa mwelewa basi
 
Azapound-the big nation enz za kwayu, mchwa, lyoba, shija, tokyo n.k = mi dv 1 ya kumwagilila mpaka kuzasa 1995>1998, na 1999>2001. ILA MADOGO WA SASA WANAAIBISHA CHAMA. SHAFII DAUDA (CLOUZ) EBU WAAMBIE MADOGO
 
Azania ya Ukweli(Division One za kutosha) na wagumu(Wapiga msuli) iliishia labda mwaka 2002.
Baada ya hapo ninaona wengi ni wauza sura, wapata Sifuri, wabana pua, masharobaro nk.

Hahahaaa azania bado ipo mkuu na watu wanatia mambo kama kawaida
 
aza boy enzi yetu... ukitoka aza boy pugu... div 1 za kumwaga bila kupata math 45 hakuna aza boy sio nyie watoto wa 2010 math 28 unaenda aza...
 
Gonga hapa,
[post=3148719]Kwa waliosoma Azania...![/post]

Dogo unafanya marudio tu. Zipo thread kibao za AzaBoys (ASS) hapa JF!
 
wakuu me ile nyimbo ya Skuli ilikuwa inanipa mzuka dah! Azania of tdy..Azania ystday Azania... dah imetoka
 
Azapound-the big nation enz za kwayu, mchwa, lyoba, shija, tokyo n.k = mi dv 1 ya kumwagilila mpaka kuzasa 1995>1998, na 1999>2001. ILA MADOGO WA SASA WANAAIBISHA CHAMA. SHAFII DAUDA (CLOUZ) EBU WAAMBIE MADOGO

bila kuwasahau mwl Maleko,Charles,Isaya,Lindugani,Shayo na yule mzee wa physics lab.Pia Mtanga wa ze comedy.Pale nlipita 1997-2001.
 
Habari za leo!
Azania sekondari ni moja ya shule kongwe nchini ambayo huko nyuma ilikuwa na historia nzuri ya kufaulisha na kutoa vijana wazuri kichwani. Kama uliwahi kupitia pale tafadhali jitokeze hapa na utukumbushe historia ya wakati wenu pale Azania.
Ahsanteni sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom