wakitaka gesi isije dar basi waikatae na ccm, vinginevyo wanajisumbua. as long as ccm is in power gasi itafika dar na mradi huu umeshaanza utekelezaji wake.Maandamano halali, makubwa na ya kihistoria
yanatarajia kufanyika Alhamis hii tar
27.Disemba.2012 kupinga GESI isiondoke Mtwara
ikiwa GHAFI. Maandamano yataanzia maeneo ya
Mtawanya saa tatu asub. Mlioko Newala. Masasi,
Tandahimba, Nanyamba. maeneo ya Lindi na Kwingineko tuungane kutetea maendeleo ya KUSINI
kwa ujumla.