Recent content by francois voltaire

  1. francois voltaire

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanza: Maandalizi ya Maandamano ya amani kupinga ugumu wa maisha, miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi yakamilika

    Sipendi kuwa mnafiki Ila chadema kimepoteza ushawishi 50% kwa watanzania Najua mtabisha ila mtajione kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na mwakani uchaguzi mkuu
  2. francois voltaire

    JamiiForums Tanzania Capt. Ibrahim Traore: A Slave who does not rebel doesn't deserves Pity

    Ilibaki kidogo nikachome cheti changu Cha lugha,,, Jamaa katafsiri uongo halafu anakuja kulia Lia na hao ndo unakuta wanapelekwa kudiscus policy na contract za nchi[emoji23]
  3. francois voltaire

    JamiiForums Tanzania Mwigulu akomalia shs 100 kwenye mafuta, adai yakipanda bei Rais Samia ataweka ruzuku

    Mbona hajatoa sababu ya kutokua na hofu.. Nikajua labda bei ya mafuta itashuka sana Hali itakayopelekea hiyo 100 kutokua na effect kwa mnunuzi🥱
  4. francois voltaire

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Serikali imefuta ada kwa kidato cha tano na sita?

    Tuongeeni ukweli aisee...Ile 70k haiboreshi chochote kwenye elimu. Ova
  5. francois voltaire

    JamiiForums Tanzania Mnaomtetea Hayati Magufuli nionesheni kaburi la Ben Saanane, Azory Gwanda na CCTV footage ya shambulio la Lissu

    No one is perfect na kama ukigundua hilo inakua juu yako kuchagua upande either wa mazuri au wa mabaya so wanaompenda usiwajudge eti kwasababu wanakipenda unachokichukia that iz all aboout life
  6. francois voltaire

    JamiiForums Tanzania Kagera: Kinana aishukuru serikali ya Uchina na Rais Samia kwa kujenga Chuo kikubwa cha VETA Ukanda mzima wa Magharibi kwa Tsh. 22.3b.

    kuna uhusiano gani kati ya kuishukuru china na tozo? Yani unashindwa kujiongeza apo?!
  7. francois voltaire

    JamiiForums Tanzania Tutofautishe bei ya mazao, wingi wa mavuno na kuuza mazao nje ya nchi

    Thats true..Watu waseme ukweli tu kuwa bei zipo juu serikali ifanye mpango mazao yashuke but hiyo itamuumiza sana mkulima aliyenunua mbolea 120k afu aje kuuza mahindi 40k itakuwa si haki acha vita ya ukraine ituumize wote....Mfuteni mkulima machozi atoke kwenye kilio cha samaki basi daah
  8. francois voltaire

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jinsi ya kurekebisha taarifa za maombi ya kazi za sensa

    wanabodi salaam. Naomba msaada kwa anayejua jinsi ya kurekebisha taarifa kwenye form ya maombi ya kazi za sensa,,, mistake imefanyika kwenye email account hivyo pasword and username sijapata.. Naomba kwa anayejua anisaidie plz Sorry kama utaboreka lakini nisaidiwe jamani
  9. francois voltaire

    JamiiForums Tanzania Mafuta mazuri kwa ngozi ya mafuta

    aise mi naomba nitajie mazuri zaidi bila kujali bei..Jinsia ni me
  10. francois voltaire

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Gwajima nchi kukosa maono kwa sababu ya kila Rais kuja na lake ni uongo mkubwa

    Nadhani wewe ndo wakupuuzwa yuko right ,100% ila wewe ndo haujamwelewa vizuri
  11. francois voltaire

    JamiiForums Tanzania Somo nililopata kupitia kwa Hayati John Pombe Magufuli

    ujumbe mzuri sana
  12. francois voltaire

    JamiiForums Tanzania Natafuta incubator ya mayai 30

    Habai, Poleni na kazi wapendwa, Naomba anayejua bei ya incubator au anauza incubator ndogo ya mayai 30 naomba tuwasiliane Nipo morogoro mie. Shukrani.
  13. francois voltaire

    JamiiForums Tanzania Dubai: Rais Samia ashuhudia utiaji saini wa Mikataba ya Uwekezaji ya thamani ya Trilioni 17

    yani safari moja inaongeza deni la 14 trilion? Mgogo aliona mbali sana kwakweli
  14. francois voltaire

    JamiiForums Tanzania Mawakili kesi ya Mbowe na wenzake watatu walibadili mbinu baada ya kuona kila pingamizi la utetezi linagonga mwamba

    All in all nimempenda Kibatala nadhani ni miongoni mwa mawakili makini hapa nchini. Kesi yenye mashtaka magum kama hii kwa upande wangu ameimudu vizuri kwakweli.
Back
Top Bottom