Recent content by fikirini

  1. fikirini

    Live updates: Tanzania vs zimbabwe

    Kuna kituo cha Tv wanarusha hiyo mechi wadau?
  2. fikirini

    Kidato cha pili mlioingia kidato cha tatu, chini ya wastan poleni

    Kama kawaida ya serikali hii sikivu, baada ya kuchakachua matokeo ya kidato cha nne 2012 , sasa wamehamia kidato cha pili ...wameshusha alama hadi wastan wa alama 20, kama haitoshi wakasema basi wote waingie kidato cha tatu. wakati hili likifanyika wakuu wa shule wameamriwa kuwasimamia walimu...
  3. fikirini

    TANZIA: Bi Kidude afariki dunia!

    Ni vyema mtoa taarifa ungetoa taarifa kamili za huu msiba ili niweze kushiriki na wanafamilia, ndugu, marafiki na jamaa. Kama huna weka chanzo cha habari hizi ili niweze kufuatilia taratibu za msiba.
  4. fikirini

    Fc barcelona 1 vs real madrid 3,decline ya barcelona na lionel messi era

    Sasa nimekubali kumbe barca ni timu ya kuogofya, kufungwa kwao kumeweka "headlines", ila naamini there is no condition which is permanent. Ikumbukwe kuwa ubora wa barca ndo umechangia madrid, chelsea, celtic, ac milan kujiandaa vyema na kuwa makini uwanjani..na hatimaye kupata ushindi.
  5. fikirini

    Naomba anayejua procedure za kukata rufaa matokeo ya ualimu necta

    ninachojua mimi ni kulipia ada ya rufaa, kama elfu 20 hivi, ila kwa taarifa zaidi fungua www.necta.go.tz utapata taarifa kamili. pole sana heri angefeli somo lingine tofauti na somo la ualimu hyo ni total disqualification.
  6. fikirini

    Naomba anayejua procedure za kukata rufaa matokeo ya ualimu necta

    Huwa wanafeli mkuu, ndo maana hata wewe umefahamu kuandika sababu ulifundishwa na walimu waliofaulu. teh teh
  7. fikirini

    Tcu tcu tcu!!!!

    kwani wewe ni TCU?
  8. fikirini

    Udom Job: Oral Interview

    Wadau poleni na pilika za maisha ya kila siku. Nilisikia oral interview imefanyika kwa watu wa janitor wiki iliyopita, naomba kujua kwa wale walioitwa kama na wale wa post za ma-warden waliitwa pia au bado? Nawasilisha.
  9. fikirini

    Nafasi ya mume. . .

    Mkiwa kwenye ndoa tayari ni mwili mmoja, hivyo hata mke ana nafasi ya kuwaambia hao mawifi zake juu ya yale ambayo ni kero kwake, mambo ya kumtegemea mme tu ndo atoe sauti, huo tayari ni ubaguzi wa kindugu unakuwa ukifanyika.
  10. fikirini

    Je huu ni utapeli?

    Daaaaaaaaaaah, eti wamepanga kizota, kweli wamechapika, kampuni gani serious ikawa kizota. sasa wewe wapigie simu uwambie upo kizota kituo cha msimbazi, then wakuelekeze, ila uwe na police kabisa
  11. fikirini

    Tendo la Ndoa: Faida/umuhimu wa kushiriki tendo hili

    Mmmmmh, ningependa kupata ujuzi kama wako ili nami nistahimili pia.
  12. fikirini

    Usaili wa Bagamoyo University

    Wenye taarifa wadau kama huku kuitwa kwa mafungu kumekamilika. Napenda kujua kwa walioomba nafasi college za education na government and leadreship kama wameitwa nao. nawasilisha
  13. fikirini

    Serikali yakopa CRDB kulipa wafanyakazi

    Naomba source mkuu
  14. fikirini

    Interview ya Bagamoyo university inaendelea sasa hivi wana JF

    Nashukuru kwa taarifa, ila sijakuelewa vizuri umesema kuwa leo ni zamu ya tutorial assistants, so ni wote au wengine wataitwa siku zitakazofuata? wewe uliomba kwennye college ipi mkuu?
  15. fikirini

    Walioomba kazi University of Bagamoyo

    Nawasalimu wana JF, Kuna mtu alinijulisha jana kuwa kwa wale ambao wame be shortlisted wangeanza kupigiwa simu leo, na usaili utaanza jumatatu ijayo. Naomba kujua kama kuna mtu amepigiwa simu siku ya leo. Asanteni...
Back
Top Bottom