Je huu ni utapeli?

Read me

Member
Jan 10, 2011
35
4
Salaamu zenu wadau!
Nimepata barua kutoka watu wanajiita EUROPEAN & AFRICAN DEVELOPMENT FOUNDATION (INC)
(East Africa Ltd), kwa kazi niliyo apply hapa Dodoma.
Nitaifupisha kama ifuatavyo.

MEMORANDUM
TO..............................
You have been short listed to the post you applied.
Please fill the attached form and send to us immediately so that we call you for a brief interview and scrutiny of your certificates and fill in EMPLOYMENT CONTRACT FORMS.
You will have to send by VODACOM M.PESA Tsh. 14,000/= to the Assistant Director Mr.Peter Johson to his number 0766-729552 before you return/post your form.
The salary scale of your post ranges from
Tsh. 420,000--560,000 for Certificate holders.
Tsh 520,000--680,000 for Diploma holders
Tsh 660,000--875,000 for degree holders.
MANAGEMENT
TEL 0682910448

Hiyo ni barua yao,na moja ya vipengele vilivyopo katika form yao vinasema ni ivi:-
ALLOWANCES.
a)Travel allowance.
The company will pay for your journey to the place of work posted.
b)Up-keep allowance.
The company will pay for 7days hotel accomodation and meals at the rate of Tsh 30,000/= per day,total Tsh 210,000/=
c)Advance of salary.
The company will advance you Tsh 300,000/= which will deducted from your Basic salary for 3 months at the rate of Tsh 100,000/= per month.
You will be given Contract forms for you to fill in regard to your job you have applied and thus been selected.
My take:-
Hii kampuni haina physical address.
Je wadau mnaijua hii kampuni?
Nimejaribu kuwapigia simu wanadai hawajapata jengo la kudumu kuweka ofisi zao mjini, ila kwa sasa wapo ktk nyumba ya kupangisha eneo la kizota.
Je hawa ni matapeli wa mjini au wako serious?
 
kamata weeeeeeeeeeziiiiiiiii hao,kama wana uwezo wa kulipa hayo mahela yooote kwa nin waombe 14000
 
This sounds odd. Inaelekea wasio na kazi wamegeuzwa kuwa shamba la bibi. Makampuni mengi yanayoomba pesa kabla ya interview mara nyingi huishia kuwa matapeli. Kuwa makini!!!
 
Mkuu hao ni wezi wakubwa,kwa namna wanavyoonyesha kulipa vizuri wameshindwa nn kutafuta Office hapo Dodoma mjini mpaka waenda Kizota? Wezi hao
 
Thanx wadau kwa ushauri wenu,
hawa matapeli nimeshawapotezea,
wamenipigia simu kuniulizia lini nitawatumia elfu 14 kwa njia ya M.PESA.
Nimewapa live kuwa ni matapeli wakubwa, wakabaki kujiuma uma wasijue la kusema.
THANX JF
 
Hao dawa yao unawajibu kwa upoleee 'kindly deduct the installment from my first salary. With this email, is my approval'
Hawarudii tena!
 
Salaamu zenu wadau!
Nimepata barua kutoka watu wanajiita EUROPEAN & AFRICAN DEVELOPMENT FOUNDATION (INC)
(East Africa Ltd), kwa kazi niliyo apply hapa Dodoma.
Nitaifupisha kama ifuatavyo.

MEMORANDUM
TO..............................
You have been short listed to the post you applied.
Please fill the attached form and send to us immediately so that we call you for a brief interview and scrutiny of your certificates and fill in EMPLOYMENT CONTRACT FORMS.
You will have to send by VODACOM M.PESA Tsh. 14,000/= to the Assistant Director Mr.Peter Johson to his number 0766-729552 before you return/post your form.
The salary scale of your post ranges from
Tsh. 420,000--560,000 for Certificate holders.
Tsh 520,000--680,000 for Diploma holders
Tsh 660,000--875,000 for degree holders.
MANAGEMENT
TEL 0682910448

Hiyo ni barua yao,na moja ya vipengele vilivyopo katika form yao vinasema ni ivi:-
ALLOWANCES.
a)Travel allowance.
The company will pay for your journey to the place of work posted.
b)Up-keep allowance.
The company will pay for 7days hotel accomodation and meals at the rate of Tsh 30,000/= per day,total Tsh 210,000/=
c)Advance of salary.
The company will advance you Tsh 300,000/= which will deducted from your Basic salary for 3 months at the rate of Tsh 100,000/= per month.
You will be given Contract forms for you to fill in regard to your job you have applied and thus been selected.
My take:-
Hii kampuni haina physical address.
Je wadau mnaijua hii kampuni?
Nimejaribu kuwapigia simu wanadai hawajapata jengo la kudumu kuweka ofisi zao mjini, ila kwa sasa wapo ktk nyumba ya kupangisha eneo la kizota.
Je hawa ni matapeli wa mjini au wako serious?
Daaaaaaaaaaah, eti wamepanga kizota, kweli wamechapika, kampuni gani serious ikawa kizota. sasa wewe wapigie simu uwambie upo kizota kituo cha msimbazi, then wakuelekeze, ila uwe na police kabisa
 
Huyu bosi wao ana njaa kali sana aisee.. Mbona anaomba pesa kidogo hivyo..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom