Udom Job: Oral Interview | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udom Job: Oral Interview

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by fikirini, Feb 6, 2012.

 1. fikirini

  fikirini Senior Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wadau poleni na pilika za maisha ya kila siku. Nilisikia oral interview imefanyika kwa watu wa janitor wiki iliyopita, naomba kujua kwa wale walioitwa kama na wale wa post za ma-warden waliitwa pia au bado?
  Nawasilisha.
   
 2. Askari wa miguu

  Askari wa miguu JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamaa hawako organised mkuu....hawaeleweki hata kidogo
   
 3. A

  Agrodealer Senior Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 108
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wiki iliyopita planning officer nao walifanya oral
   
 4. n

  nkwezi Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: May 8, 2007
  Messages: 57
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Vipi mwenye data kamili kama oral wamemaliza au vipi?
   
Loading...