Walioomba kazi University of Bagamoyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walioomba kazi University of Bagamoyo

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by fikirini, Oct 28, 2011.

 1. fikirini

  fikirini Senior Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nawasalimu wana JF,
  Kuna mtu alinijulisha jana kuwa kwa wale ambao wame be shortlisted wangeanza kupigiwa simu leo, na usaili utaanza jumatatu ijayo. Naomba kujua kama kuna mtu amepigiwa simu siku ya leo.
  Asanteni...
   
 2. m

  matongo manawa JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mimi sijasikia,but wangetoa pia ktk magazeti.Nikisika nitakufahamisha
   
 3. s

  sirmudy JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  hata mm pia sijasikia....tujuzane wadau kamaku kuna mtu atakayepigiwa simu.......!
   
 4. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hola a.k.a Pa2pu.
   
 5. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80

  Hakuna Haja ya kujulishana, Ukiona hujapigiwa ujue haupo shortlisted. Sasa unataka ujulishwe ili kama wewe hujapigiwa uwapigie wewe?
   
 6. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  bila bila kaka
   
 7. eliesikia

  eliesikia JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  wamepiga leo kwa interview wiki ijayo.. kama haupo ujue imekulwa kwako
   
Loading...