Udini utakumaliza ushajiita great thinker acha kubwatuka ovyo. Unatutia aibuitabidi rais kikwete akamzike ili waislam wafurahi.
RIP bi kidude.
acha uvivu,pitia wadau wameweka vyanzo kibao!kama vp toka hata hapo nje utapata habari au fungua facebook utakuta,alaaNi vyema mtoa taarifa ungetoa taarifa kamili za huu msiba ili niweze kushiriki na wanafamilia, ndugu, marafiki na jamaa. Kama huna weka chanzo cha habari hizi ili niweze kufuatilia taratibu za msiba.