Usaili wa Bagamoyo University | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usaili wa Bagamoyo University

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by fikirini, Nov 7, 2011.

 1. fikirini

  fikirini Senior Member

  #1
  Nov 7, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wenye taarifa wadau kama huku kuitwa kwa mafungu kumekamilika. Napenda kujua kwa walioomba nafasi college za education na government and leadreship kama wameitwa nao. nawasilisha
   
 2. P

  PAFKI Senior Member

  #2
  Nov 8, 2011
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Kaka ni ngumu kujua ila mara ya mwisho nilickia bado walikuwa wanaita college ya science hizo zingine labda wadau wa2juze.
   
Loading...