ndungu pongezi sana kwa kazi nzuri.... ila umakini unatakiwa katika matembezi yako wahuni wasije wakakuuwa tukakosa mtu muhim kama wewe katika kupigania tanzania yetu mpya. jumapili njema!.
kilichoripotiwa na kaka ni kweli kabisa na yeye hajaongeza neno ndivyo hivyo ilivyo lakini kesho itaendelea kama mbinu hiyo ya kuzuia imefanikiwa au laah.... nawabunge wameishangaa mahakama kuingilia shughuli za bunge na mwisho ndugai akasema anamnukuu sitta wakati yupo kwenye kiti kwamba...
wizi mtupu.... kwa hiyo hata kama shule haina ubora mnaangalia masirahi hamuoni hiyo mbinu inaingia kwenye wizi wa kuaminiwa. kikubwa chakuwashauri mjipange kuanzia chakula na maradhi halafu muweke walimu wenye ushindana ambao wataleta matokeo mazuri. baada ya kuona matokeo tutawaleta wenyewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.