Sakata la mtoto "kuteswa", polisi yapanga hiki

GreenCity

JF-Expert Member
May 28, 2012
5,614
2,000
Wakuu katika matukio ya kijamii yaliyoumiza wengi wiki hii basi la huyu mtoto wa Kampala kutaka kuuliwa na yule housegirl shetani ni kubwa zaidi!

Jana tarehe 22 November 2014 ndiyo tulio wengi tumepata taarifa hii, na binafsi nimekutana na wanaume kwa wanawake kadhaa wakisema wametoa machozi!

Leo kupitia mtandao wa NBS news nimeutana na kauli ya polisi juu ya tukio hili. Ni kwamba prosecutors "waendesha mashtaka" waliomfungulia mashtaka "dhidi ya utesaji" kwa mujibu wa sheria ya kuzuia utesaji " yaani anti_torture act, section 3! Lakini kwa mujibu wa afande ONYANGO, amesema wanafanya hatua za marekebisho ya mashtaka ili iwe " mashtaka dhidi ya kujaribu kuua "

My Take: hivi hawa waendesha mashtaka ni kwanini wanapenda kuweka mianya ya kuwaachilia huru watuhumiwa hata kwenye makosa ya wazi. Hii nimeiona sana hapa Tanzania mfano ni katika kesi ya AFANDE Zombe dhidi ya mauaji ya wafanyabiashara wa madini waliodhaniwa kuwa ni maiambazi, kesi nyingine ni ile ya yule MH Ditopile kuua dereva kwa bastola!
Wakuu huyu housegirl shetani hakuwa na nia ya utesaji bali kuua hivyo mashtaka sahihi ni "dhidi ya kujaribu kuua" nadhani woooote mtaniunga mkono!
 
Madiba

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
423
250
Wakuu katika matukio ya kijamii yaliyoumiza wengi wiki hii basi la huyu mtoto wa Kampala kutaka kuuliwa na yule housegirl shetani ni kubwa zaidi!

Jana tarehe 22 November 2006 ndiyo tulio wengi tumepata taarifa hii, na binafsi nimekutana na wanaume kwa wanawake kadhaa wakisema wametoa machozi!

Usipost comments kwa jazba, fanya profreading kwanza!!! Huu siyo mwaka 2006!!!
Leo kupitia mtandao wa NBC news nimekutana na kauli ya polisi juu ya tukio hili. Ni kwamba prosecutors "waendesha mashtaka" waliomfungulia mashtaka "dhidi ya utesaji" kwa mujibu wa sheria ya kuzuia utesaji " yaani anti_torture act, section 3! Lakini kwa mujibu wa afande ONYANGO, amesema wanafanya hatua za marekebisho ya mashtaka ili iwe " mashtaka dhidi ya kujaribu kuua "

My Take: hivi hawa waendesha mashtaka ni kwanini wanapenda kuweka mianya ya kuwaachilia huru watuhumiwa hata kwenye makosa ya wazi. Hii nimeiona sana hapa Tanzania mfano ni katika kesi ya AFANDE Zombe dhidi ya mauaji ya wafanyabiashara wa madini waliodhaniwa kuwa ni maiambazi, kesi nyingine ni ile ya yule MH Ditopile kuua dereva kwa bastola!
Wakuu huyu housegirl shetani hakuwa na nia ya utesaji bali kuua hivyo mashtaka sahihi ni "dhidi ya kujaribu kuua" nadhani woooote mtaniunga mkono!

Proofread before you post your comments!! This year is 2014 and not 2006!!!
 
Shy land

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
5,944
1,250
Wakuu katika matukio ya kijamii yaliyoumiza wengi wiki hii basi la huyu mtoto wa Kampala kutaka kuuliwa na yule housegirl shetani ni kubwa zaidi!

Jana tarehe 22 November 2006 ndiyo tulio wengi tumepata taarifa hii, na binafsi nimekutana na wanaume kwa wanawake kadhaa wakisema wametoa machozi!

Leo kupitia mtandao wa NBC news nimekutana na kauli ya polisi juu ya tukio hili. Ni kwamba prosecutors "waendesha mashtaka" waliomfungulia mashtaka "dhidi ya utesaji" kwa mujibu wa sheria ya kuzuia utesaji " yaani anti_torture act, section 3! Lakini kwa mujibu wa afande ONYANGO, amesema wanafanya hatua za marekebisho ya mashtaka ili iwe " mashtaka dhidi ya kujaribu kuua "

My Take: hivi hawa waendesha mashtaka ni kwanini wanapenda kuweka mianya ya kuwaachilia huru watuhumiwa hata kwenye makosa ya wazi. Hii nimeiona sana hapa Tanzania ,
acha kupost huku unafumua viroba.
 
marxlups

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
13,335
2,000
Wakuu katika matukio ya kijamii yaliyoumiza wengi wiki hii basi la huyu mtoto wa Kampala kutaka kuuliwa na yule housegirl shetani ni kubwa zaidi!

Jana tarehe 22 November 2006 ndiyo tulio wengi tumepata taarifa hii, na binafsi nimekutana na wanaume kwa wanawake kadhaa wakisema wametoa machozi!

Leo kupitia mtandao wa NBC news nimekutana na kauli ya polisi juu ya tukio hili. Ni kwamba prosecutors "waendesha mashtaka" waliomfungulia mashtaka "dhidi ya utesaji" kwa mujibu wa sheria ya kuzuia utesaji " yaani anti_torture act, section 3! Lakini kwa mujibu wa afande ONYANGO, amesema wanafanya hatua za marekebisho ya mashtaka ili iwe " mashtaka dhidi ya kujaribu kuua "

My Take: hivi hawa waendesha mashtaka ni kwanini wanapenda kuweka mianya ya kuwaachilia huru watuhumiwa hata kwenye makosa ya wazi. Hii nimeiona sana hapa Tanzania mfano ni katika kesi ya AFANDE Zombe dhidi ya mauaji ya wafanyabiashara wa madini waliodhaniwa kuwa ni maiambazi, kesi nyingine ni ile ya yule MH Ditopile kuua dereva kwa bastola!
Wakuu huyu housegirl shetani hakuwa na nia ya utesaji bali kuua hivyo mashtaka sahihi ni "dhidi ya kujaribu kuua" nadhani woooote mtaniunga mkono!

Umesahau.mzee.wa.vijisenti.aliwagonga mabinti kwenye bajaji maeneo ya oysterbay nadhani.alitozwa.fine.sikumbuki.kiasi gani
 
felix J.N

Member
Nov 13, 2014
15
0
Wakuu katika matukio ya kijamii yaliyoumiza wengi wiki hii basi la huyu mtoto wa Kampala kutaka kuuliwa na yule housegirl shetani ni kubwa zaidi!

Jana tarehe 22 November 2006 ndiyo tulio wengi tumepata taarifa hii, na binafsi nimekutana na wanaume kwa wanawake kadhaa wakisema wametoa machozi!

Leo kupitia mtandao wa NBC news nimekutana na kauli ya polisi juu ya tukio hili. Ni kwamba prosecutors "waendesha mashtaka" waliomfungulia mashtaka "dhidi ya utesaji" kwa mujibu wa sheria ya kuzuia utesaji " yaani anti_torture act, section 3! Lakini kwa mujibu wa afande ONYANGO, amesema wanafanya hatua za marekebisho ya mashtaka ili iwe " mashtaka dhidi ya kujaribu kuua "

My Take: hivi hawa waendesha mashtaka ni kwanini wanapenda kuweka mianya ya kuwaachilia huru watuhumiwa hata kwenye makosa ya wazi. Hii nimeiona sana hapa Tanzania mfano ni katika kesi ya AFANDE Zombe dhidi ya mauaji ya wafanyabiashara wa madini waliodhaniwa kuwa ni maiambazi, kesi nyingine ni ile ya yule MH Ditopile kuua dereva kwa bastola!
Wakuu huyu housegirl shetani hakuwa na nia ya utesaji bali kuua hivyo mashtaka sahihi ni "dhidi ya kujaribu kuua" nadhani woooote mtaniunga mkono!
kiongozi nimepata taarifa mda huu mtoto kafariki je ni kweli?! mwenye uthibitisho nahili atujuze
ne
 
Pota

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
1,909
2,000
Wakuu katika matukio ya kijamii yaliyoumiza wengi wiki hii basi la huyu mtoto wa Kampala kutaka kuuliwa na yule housegirl shetani ni kubwa zaidi!

Jana tarehe 22 November 2006 ndiyo tulio wengi tumepata taarifa hii, na binafsi nimekutana na wanaume kwa wanawake kadhaa wakisema wametoa machozi!

Leo kupitia mtandao wa NBC news nimekutana na kauli ya polisi juu ya tukio hili. Ni kwamba prosecutors "waendesha mashtaka" waliomfungulia mashtaka "dhidi ya utesaji" kwa mujibu wa sheria ya kuzuia utesaji " yaani anti_torture act, section 3! Lakini kwa mujibu wa afande ONYANGO, amesema wanafanya hatua za marekebisho ya mashtaka ili iwe " mashtaka dhidi ya kujaribu kuua "

My Take: hivi hawa waendesha mashtaka ni kwanini wanapenda kuweka mianya ya kuwaachilia huru watuhumiwa hata kwenye makosa ya wazi. Hii nimeiona sana hapa Tanzania mfano ni katika kesi ya AFANDE Zombe dhidi ya mauaji ya wafanyabiashara wa madini waliodhaniwa kuwa ni maiambazi, kesi nyingine ni ile ya yule MH Ditopile kuua dereva kwa bastola!
Wakuu huyu housegirl shetani hakuwa na nia ya utesaji bali kuua hivyo mashtaka sahihi ni "dhidi ya kujaribu kuua" nadhani woooote mtaniunga mkono!
sasa hapa nini shida? naona wamefanya kama unavopendekeza...yaani mashtaka yameongezwa thamani au uzito kutoka kwenye kutesa mpaka kwenye kujaribu kuua...
 
michosho

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
507
500
hivi bado yuko hai huyo shetani...ila pengine alikuwa anamatatizo ya akili bila wenye mtoto kujua..cozi ingekuwa ni mimi hata mahakamani /polisi nisinge kwenda...ingekuwa ni kesi ya yakuua bila kukusudia...ningem-download mapema sana..kama usemi ule wananchi wenye hasira kali wame.................
 
GreenCity

JF-Expert Member
May 28, 2012
5,614
2,000
sasa hapa nini shida? naona wamefanya kama unavopendekeza...yaani mashtaka yameongezwa thamani au uzito kutoka kwenye kutesa mpaka kwenye kujaribu kuua...
Shida ipo kama polisi hawatafanya amendment kama walivyo propose hapo juu! Kwani hadi sasa jarada lina count moja tu kwenye charge sheet ambayo ni "crime against torture" na sio attempted murder "
 
njabo

Senior Member
Oct 20, 2014
195
0
hivi bado yuko hai huyo shetani...ila pengine alikuwa anamatatizo ya akili bila wenye mtoto kujua..cozi ingekuwa ni mimi hata mahakamani /polisi nisinge kwenda...ingekuwa ni kesi ya yakuua bila kukusudia...ningem-download mapema sana..kama usemi ule wananchi wenye hasira kali wame.................
Naunga hoja.
 
lusuva

Member
Aug 21, 2014
66
0
tujifunze namna ya kuchagua hg na kuishi nae,sio unaletewa na dalali hata historia yake haujui
 
Ibra6

JF-Expert Member
Jun 2, 2013
293
0
Baba akimkanyaga hcgel tegeme mengi kutokea,wanasheria huko vyuoni wanafundishwa kupindisha sheria tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom