Natafuta kijana wa kusimamia biashara

Natafuta kijana wa kusimamia biashara

Vijana wa jf acheni kudanganywa,kuna watu hapa kwa macho ya haraka haraka ukisoma post zao utaona wanaponda,kwa bahati mbaya jf kunakasumba ya kuangaliziana cha kupost akiponda wakwanza kwenye post angalau watakaofuata nao wataponda.kilichotokea kunawatu wanaponda lakini wameni P.M,sasa kuna wale ambao wao hawajitambui wao ni kugeza tu kilakitu.utakuta watu kama hao wanakaa kwa dadazao,pc yenyewe anayotumia kulogin jf ni ya shemeji,kwenye mambo ya msingi hao ndo wanakua wa kwanza kutukana na kubeza watu mitandaoni,why.? simply kwa sababu hawalipi bills so hawajui maana ya kuhustle.vijana tubadilike.

Mkuu achana nao bwana...
 
Bwana mdogo kuwa na staha, tangazo la kipuuzi kama hilo huwezi kuweka kwa jamii.
KWA USHAURI TU ni kwamba biashara ya Mpesa haihitaji uajiri degree holder hata la saba anaweza ifanya.
Post yako uliyokuwa unatafuta line ya Mpesa hii hapa www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/753899-urgently-nahitaji-laini-ya-m-pesa-kesho-ijumaa.html
Wakati uja jiheshimu.
 
Hello ni Niko interested naeza business vizuri have idea za kuandika proposal...
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 ni muaminifu natafuta kazi ni mwarabu nimemaliza chuo cha jk computer systeams kazi ya certificate naamini ni muadilifu
 
Ngoja nikavae baibui la dada nichangamkie fursa hii.....ajira zenyewe ngumu.....mchana baibui usiku nalivua nafanya yangu......
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 ni muaminifu natafuta kazi ni mwarabu nimemaliza chuo cha jk computer systeams kazi ya certificate naamini ni muadilifu
Kwahiyo kama mwarabu sisi tufanye nini? mpuuzi sana wewe.. huo ni ubaguzi
 
ndugu nina vigezo vyote ila ni mvulana umri 26. nitafurahi nikifanikiwa. 0718094993
 
Back
Top Bottom