David Kafulila anaoa leo 22/11/2014

David Kafulila anaoa leo 22/11/2014

Hongera Kafulila

Hongera sana,

Na mimi nikukumbushe kitu Bwana Harusi Kafulila, mwambie my wife wako kuwa "wewe ni public figure na mwanasiasa,kuanikwa na kusemwa ovyo, kuchimbwa na kuzomewa ni sehemu ya maisha,kwa hiyo awe tayari"
 
Nimeipenda...big up mkuu
 
Hongera sana,

Na mimi nikukumbushe kitu Bwana Harusi Kafulila, mwambie my wife wako kuwa "wewe ni public figure na mwanasiasa,kuanikwa na kusemwa ovyo, kuchimbwa na kuzomewa ni sehemu ya maisha,kwa hiyo awe tayari"

mbona wife wake nae ni public figure
 
You are not doing justice to him. Why call him a tumbili pasipo hata kuweka neno tumbili kwenye inverted commas? It is not fair.

Hakumuita tumbila ila kasema yule kijana aliyeitwa tumbili. Ni kweli ni vibaya sana kumuita moja kwa moja tumbili.
 
Back
Top Bottom