CHADEMA yanunua wagombea wa CUF

CHADEMA yanunua wagombea wa CUF

Sasa kama hakifai kwa nini unahangaika nacho? Pilipili usiyoila yakuwashiani? Wewe unaandika tu upuuzi, na unastahili kupuuzwa km kawaida

unataka akae kimya wakati hatari inakiribia
 
unataka akae kimya wakati hatari inakiribia

Hatari gani hiyo ambayo wewe au yeye ameiona? Mimi sioni tatizo wala hatari yoyote kwa sbb hizo ni propaganda tu za kipuuzi. Maana mtu unasema chama hakifai halafu unahangaika nacho, si upuuzi huo? Achana nacho hangaika na vyama vyako au vingine ambavyo vinafaa. Nafikiri propaganda zenu haziwezi kufanya kazi kwa watu wenye akili timamu
 
kata ya nyamalobe!!!! ilianza lini?? jamani usifikiri jf ni mazuzu nenda kapeleke umbea huo kwingine hii ni seheme ya the great thinkers only!.
 
assadsyria3 kwanini chama chenu act hakisimamishi wagombea au ndo mmeamuaa kuwaunga mkono wagombea wa ccm?
 
assadsyria3 kwanini chama chenu act hakisimamishi wagombea au ndo mmeamuaa kuwaunga mkono wagombea wa ccm?

ACT kinakua kwa kasi kimejikita zaidi kuongeza idadi ya wanachama ambao wameongezeka toka laki NNE mwezi uliopita mpaka elfu kumi mwezi huu
 
Back
Top Bottom