Maswali kumi kwa David Kafulila kuhusu IPTL

Maswali kumi kwa David Kafulila kuhusu IPTL

Kaka naona umeshapanic..huna hoja,mi nadhani ka Kafulila kakutuma,pia ungemsaidia kujibu maswali yaliyoulizwa na mtoa post,alafu nnachoshangaa mtu kam huyu bado ana hang kwenye nyuzi, hafungiwi..

hana cha kukoment zaidi ya matusi haaaahaaaaa
 
[h=2]Saturday, 22 November 2014[/h] [h=3]SAKATA LA ESCROW BUNGE KULIPUKA[/h]
SAKATA la akaunti ya Escrow limezidi kuchukua sura mpya, baada ya kuibuka mambo mazito ikiwemo taarifa za baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) kudaiwa kuchukua rushwa kwa kampuni ya Independet Power Limited (IPTL).

Taarifa hiyo imekuja wakati ripoti ya uchunguzi wa akaunti hiyo ikitarajia kusomwa ndani ya bunge, ambapo imeelezwa kuwepo kwa makelele mengi ndani ya bunge kunatokana na baadhi ya wabunge kukosa mgawo wa fedha na wengine na wao kuchukua rushwa.

Nyaraka za malipo, ambazo gazeti hili ilizipata ambazo zinamuhusisha mtumishi wa bunge ambaye ni mmoja wa makatibu wa kamati ya PAC, Beatus Malima na wakili wa Mwenyekiti wa PAC, Zitto Kabwe aitwaye Alberto Msando, ambao walichukua milioni 10 kila mmoja kwa nyakati tofauti na kuzipeleka kwa wajumbe PAC ili waandae Ripoti itakayoonyesha kwamba kwenye IPTL haina Tatizo.

Katika vocha ya malipo iliyotoka PAP inamuonyesha April 8, 2014 Wakili Msando alipokea sh. milioni 10 kwa ajili PAC na Zitto kuandaa majibu ya malalamiko ya kampuni ya MECHMAR dhidi ya IPTL/PAP kazi ambayo inasemekana zitto aliifanya Machi 28, mwaka huu.

Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba tarehe hiyo, mtumishi wa bunge anayefanya kazi na Kamati ya PAC, Beatus Malima naye alichukua kiasi kama hicho cha fedha kwa kazi hiyo hiyo

Msando alitambulishwa na Zitto kwa uongozi wa IPTL/PAP kama mshauri wake wa kisheria na mwanasheria hivyo chochote atakachowaambia ni maagizo kutoka kwake, ambapo Zitto alimtambulisha kwa Mwenyekiti Mtendaji wa PAP, Harbinder Sethi baada ya kikao kirefu walichokifanya yeye na zitto kabla ya Mwenyekiti huyo wa PAC hajasafiri kwenda India kwenye matibabu ya marehemu mama yake, siku chache kabla ya malipo haya hayajafanyika.

Mmoja wa wabunge, ambaye hakupenda kutaja jina lake, alisema hili suala lina makandomakando mengi na wala si hayo yanayozungumzwa kwa kuwa PAP waliipata IPTL kwa kufuata taratibu zote kisheria pamoja na malipo waliyopewa katika akaunti ya Escrow yalikuwa halali kwao.

Taarifa hizo zilionyesha kuwa wakili huyo na mtumishi huyo waliendelea na utaratibu wa kuwa wanachukua pesa IPTL kwa sababu mbalimbali na mwishowe kuwapa maagizo kwamba itabidi PAC walipwe kiasi cha billioni 1.5 ili wazuie mjadala uliotarajia kuibuliwa kipindi hicho kuhusu sakata hilo.

"Hawa jamaa wanaonewa kwa kuwa kuna kundi kubwa la wafanyabiashara nyumba ya IPTL, ambao waliitaka kampuni hii lakini wameshindwa. Hawa hawana makosa yeyote na kinachofanyika ni kuwaonea na mvutano uliopo kwa wale waliokosa mshiko wao ndio wanatumiwa,''alisema mbunge huyo.

Mbunge huyo, alisema "hebu fikiria, kama wangepewa hizo pesa walizoomba, je IPTL ingekuwa halali leo machoni mwao?, kwanini wawatese watu wasio na hatia kwa uroho na njaa zao binafsi?, ninakuhakikishia safari hii hatutakubali bunge kutumiwa kama kichaka cha watu kutimiza matakwa yao ya kisiasa baada ya kukosa hongo walizoomba" alisema.

Hivyo, alisema wabunge wengi wamejiandaa kueleza ukweli ndani ya bunge pamoja na kutoa mawasiliano ya simu kati ya wajumbe wa PAC na baadhi ya wabunge kuwaomba wawape nguvu katika suala hilo, pamoja na mawasiliano ya fedha kwa viongozi wa PAP yalivyokuwa yakifanyika.

attachment.php

attachment.php

HABARI MOTO: SAKATA LA ESCROW BUNGE KULIPUKA

SOURCE GAZETI UHURU, JAMII FORUMS
 
Maswali mazuri sana mkuu ila to the wrong person - Kafulila ni whistleblower tu haya mawaswali ni ya CAG na DR Hosea wao watkujibu kwani wao ndiyo waliochunguza sakata hili. Yeye kazi yake kamaliza tena vizuri sana.
 
Maswali mazuri sana mkuu ila to the wrong person - Kafulila ni whistleblower tu haya mawaswali ni ya CAG na DR Hosea wao watakujibu kwani wao ndiyo waliochunguza sakata hili. Yeye kazi yake kamaliza tena vizuri sana.
 
Tibaijuka yeye kagawiwa Bil 1.3 jewewe umegawiwa shilingi ngapi na hawa matapeli ili uje hapa kuuliza ujinga wako?

Tangu lini pesa isiyo ya serikali ikakaguliwa na CAG?

Hivi unatumia tumbo kufikiri?

Maswi na Muhongo wanajaribu kupigapiga miguu chini ili kujinasua lkn wizi kama huu wa kutuibia na kugawana genge lisilozidi hata watu 20 pesa nyingi zaidi ya Bil 200 ,hauvumiliki tena.

Kila siku unakuja jamii forums kupima upepo.

pumba kabisa, CAG amekagua kwasabu anataka kujiridhisha pesa zile za escrow ambazo ni mali ya IPTL zilitoka kwa njia sahihi na kiasi sahihi toka serikalini lakini mwisho wa siku pesa za escrow ni malipo halali ya IPTL kutokana na kutuzalishia umeme kwa miaka kumi na moja bila malipo
 
kwa ufahamu wako basi umenena vyema
 
pumba kabisa, CAG amekagua kwasabu anataka kujiridhisha pesa zile za escrow ambazo ni mali ya IPTL zilitoka kwa njia sahihi na kiasi sahihi toka serikalini lakini mwisho wa siku pesa za escrow ni malipo halali ya IPTL kutokana na kutuzalishia umeme kwa miaka kumi na moja bila malipo
Acha kuongea ----- wewe. Unafahamu judgement ya ICID ya February 2014 ipoje? Utakuwa unaongea vitu usovyovijua wewe, eti fedha za IPTL, nyooko!
 
Tibaijuka yeye kagawiwa Bil 1.3 jewewe umegawiwa shilingi ngapi na hawa matapeli ili uje hapa kuuliza ujinga wako?

Tangu lini pesa isiyo ya serikali ikakaguliwa na CAG?

Hivi unatumia tumbo kufikiri?

Maswi na Muhongo wanajaribu kupigapiga miguu chini ili kujinasua lkn wizi kama huu wa kutuibia na kugawana genge lisilozidi hata watu 20 pesa nyingi zaidi ya Bil 200 ,hauvumiliki tena.

Kila siku unakuja jamii forums kupima upepo.

Kafulila awaombe na kuwataka radhi iptl na watanzania kwa kutumika na mafisadi ili kurudisha heshima yake kwa watanzania.
 
Ukizungumzia Prof. Tibaijuka kugawiwa pesa za iptl naingiwa na hamu ya kutaka kukuelewesha, lakini kwanza rudisha ubongo wako kichwani ili unielewe. Wakati JR anataoa fedha kwa Prof. Tibaijuka hakuwa mwanahisa wa iptl,alikuwa kashauza hisa zake kwa iptl tena kwakufata sheria zote. Wasingeanzisha ukaguzi kafulila angetunga na wimbo kabisa, lipi jema kwenu? Hakuna wizi hapa akaunti ya Escrow ilifunguliwa kutokana na “Dispute” iliyotolewa na TANESCO na sasa, “Dispute” haipo, na hivyo Serikali yeyote makini haina sababu ya kuzuia fedha ambazo zipo kwenye akaunti ya Escrow kwa sababu yoyote ile.
Kilichopo hapo kuna wajinga tu walimwambia Prof. mohongo baada ya kuzibiwa mirija yao wizarani pale "UTAONA WEWE", ndio akatafutwa bwana mdogo mtoto wa mjini Kafulila akamezeshwa riwaya za Zitto akaanza kuropoka.

:confused2::confused2::confused2: Ha ha, You will ask KAFULILA all the questions,You will call him all names but all in all he has spoiled your deal and you will cough out all the money. Well done TUmbili!!!
 
Jamani kama Kafulila hayupo basi yoyte mwenye majibu atusadie. Naona watu wenye jazba bila kueleza chochote humu ndani.
 
Ningekuwa mimi ndiye nilianzisha hii mada ningemuomba invisible aifute kuepusha aibu.
 
Tibaijuka yeye kagawiwa Bil 1.3 jewewe umegawiwa shilingi ngapi na hawa matapeli ili uje hapa kuuliza ujinga wako?

Tangu lini pesa isiyo ya serikali ikakaguliwa na CAG?

Hivi unatumia tumbo kufikiri?

Maswi na Muhongo wanajaribu kupigapiga miguu chini ili kujinasua lkn wizi kama huu wa kutuibia na kugawana genge lisilozidi hata watu 20 pesa nyingi zaidi ya Bil 200 ,hauvumiliki tena.

Kila siku unakuja jamii forums kupima upepo.

Kwa akili yake, basi ipo siku CAG atakwenda KARUME pale tff kukagua hesabu ktk fedha zinazoletwa na fifa!
 
Duh mkuu punguza jaziba yaweza kuwa wewe una mengi yakutujuza juu ya maswali hayo kwa kafulila, tatizo lako unakuwa na haraka na hasira ila nakuona unayo hoja ya msingi kabisa. Hebu vuta pumuzi urejee tena utupe ukweli wa sakata hili

wewe unahoja gani kumuita kafulila mchumia tumbo.
 
Back
Top Bottom