Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Hatimaye Kocha Mkuu wa Mbeya City Council kaachia ngazi. Akiongea na TBC Taifa Juma Mwambusi amesema mengi yamesemwa, yeye pamoja na familia yake wametafakuri na kuamua kuwa kuachia ngazi kwake kutamletea heshima na pia kutoa nafasi kwa kocha mwingine kuendelea kuifundisha MCC FC. Ni uamuzi unaotia simanzi lakini huo ndio mchezo wa mpira wa miguu.
Mwambusi tunakutakia maisha mema, umeonesha njia wengine possibly Phiri, Omog na Maximo watafuata nyayo zako.
Mwambusi tunakutakia maisha mema, umeonesha njia wengine possibly Phiri, Omog na Maximo watafuata nyayo zako.