Habari, Natafuta chumba maeneo ya kijiweni, madukani, mugabe na shekilango au nyuma ya ubungo plaza....ni chumba kimoja, kiwe karibu na barara ya shekilango bajeti 50,000/ kama kipo
Unakuta nywele ngumu kabisa mtu anaing'ang'ania kichwani inakuwa sasa kama brush ya kutolea buibui, ukichanganya na harufu inayotoka kichwani balaa tupu
Habari mkuu, naomba ushauri kuhusu suala langu hili, Mimi ni mfanyakazi katika kampuni binafsi...nimefanya kazi mwaka mmoja na nusu na katika kipindi hicho sikupata mkataba wa ajira licha ya kuomba mara nyingi kupewa mkataba na nyongeza ya mshahara, kwa bahati nyingine nimepata nafasi ya kazi...
Habari zenu humu ndani, kwa wasomi wote na walioajiriwa kuna kijana mwenzangu msomi kidogo, alifanikiwa kupata nafasi ya kufanya kazi/kujifunza (internship) katika kampuni fulani hapa mjini dar es salaam.
Sasa kwa muda wote huu wa miezi 11 amekuwa akifanya kazi na kujifunza(internship) huku...
Mnaweza kuwa mnamuhudumia vizuri tuu mahitaji yote, ila sasa kwa tabia zenu wenye nyumba ndiyo sababu....huenda mmoja kati yenu (wanandoa) anamfanyia mwenzake usaliti halafu dada wa kazi nae anafahamu na huenda anashuhudia vitendo vinavyofanyika, kwa fedheha hiyo kama ana ustaarabu hawezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.