Fascination
Member
- Mar 21, 2015
- 86
- 55
Habari zenu humu ndani, kwa wasomi wote na walioajiriwa kuna kijana mwenzangu msomi kidogo, alifanikiwa kupata nafasi ya kufanya kazi/kujifunza (internship) katika kampuni fulani hapa mjini dar es salaam.
Sasa kwa muda wote huu wa miezi 11 amekuwa akifanya kazi na kujifunza(internship) huku akipewa malipo kidogo(Nauli na chakula) kwa kila siku atakayoripoti anapewa 10,000 ambayo anajumuishiwa hela yake mwisho wa mwezi, kinachomkatisha tamaa ni kutokupewa mkataba wa ajira kwa muda wote huo licha ya kuomba kuajiriwa kwa meneja,
kila akiongea na uongozi wa kampuni anaambiwa kampuni haijawa sawa kifedha kuweza kumuajiri, Sasa ushauri wenu unahitajika kuhusu hali hiyo, je ni bora aendelee hivyo hivyo hadi watakapoamua kumuajiri au atafute kampuni nyingine itakayoweza kumuajiri?
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app