Wanawake haya "mawigi" yanatakiwa yakae siku ngapi kichwani?

Wanawake huwa tunajiambia we can look better in this or that.

Hatuchokagi kujaribu jaribu trends ambazo huwa baadae zinakuja kutudhuru ilmradi tu tuendane na mda.
Ivi kwann sana hayavmawigi wabatumia wanawake wa kiafrika?... Jaribu kuangalia Eastern people kama Arabs n Koreans.... Yaani

Ila najua ata ww waamini you look best in Natural

imagine una zako ndefu mpka begani then kwa side moja ya kichwa umeacha nywele kidogo zina hang... then kisogoni umebana... hizii ndo swaga saa sio manywele na katani uko....
 
Well guess what?

Wigs are not limited to African beauties.
 
Ivi kwann sana hayavmawigi wabatumia wanawake wa kiafrika?... Jaribu kuangalia Eastern people kama Arabs n Koreans.... Yaani

Ila najua ata ww waamini you look best in Natural

imagine una zako ndefu mpka begani then kwa side moja ya kichwa umeacha nywele kidogo zina hang... then kisogoni umebana... hizii ndo swaga saa sio manywele na katani uko....
Asili ya nywele zetu sio kuwa ndefu mpaka kufikia za wazungu au Asians.
 
JAMANI LEO NIMETAPIKA KWENYE DALADALA KISA HARUFU YA WIGI YA MDADA ALIYEKAA PEMBENI YANGU. KWA HASIRA NIMEKATAA HATA KULIPA NAULI. AMENIHARIBIA SIKU.
 
Nauliza hivyo maana nilikuwa nimepanda hiace nimekaa na dada siti moja ameyashonea hayo madubwasha yanatoa harufu kali.

Halafu sijui nani aliwadanganya kuwa yanawapendeza maana wengine wakiyavaa utafikiri wametundika kwenye mti.
UKitaka kuona huwa anawezakupiga ngumi kiasi gani, litoe kwa ngvu kichwani kwake.
 
Kama nyie wanaume mnavyotofautiana katika style zenu za kunyoa na wanawake ndo tupo hivyo.

Huwezi lazimisha eti tusivae mawigi wakati wengine ni hobby zao, afu suala la uchafu ni asili ya mtu binafsi.

Kwa mwanamke anaejielewa hawezi kaa na wigi tena fake wiki nzima bila kubadili na kuosha kwa mawig og.

Wengine wanatamani kuwa asili ila inashindikana kutokana na asili ya nywele sababu wengine wanazo nzito na ndefu, wengine ni nyepesi sana.

Na isitoshe mwingine akisuka anaumwa kichwa yaani kila mtu na kadhia yake linapokuja suala la nywele.
 
Mie nmeona chicago 23
 
Haya matakataka wanayovaa kichwani mengine ni nywele za marehemu waliokufa, sasa zingine zina "mawakfu" na mikosi, basi akivaa kama ni mkeo analeta mamikosi na mabalaa kwenye familia nzima!
 
Unakuta nywele ngumu kabisa mtu anaing'ang'ania kichwani inakuwa sasa kama brush ya kutolea buibui, ukichanganya na harufu inayotoka kichwani balaa tupu
 
Katika urembo huu wa kuvaa wigi sjui kushonea kusuka rasta hivi vmenishinda hata zile kope bandia huwez kuta nimeeka nachoahukuru nina asili ya nywele
mwandiko wako ni kama tumewah kutana group moja la wasap. Moja ya hilo grup linaanza na W na jingine G kama sio wewe basi nimekufananisha.
 
Ilo swala la unukaji wa wig naona ni kwawale wanaovaa wig cheap zisizooshwa...unavaa kitu Peru au Brazilian na unaiosha hiyo harufu inatoka wapi???? Binafsi weave hua inakaa kichwani kwangu kwa 1week tu

Ingawa namshukuru Mungu nywele zangu ni zaidi ya hzo wig/weave
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom