Habari, Natafuta chumba maeneo ya kijiweni, madukani, mugabe na shekilango au nyuma ya ubungo plaza....ni chumba kimoja, kiwe karibu na barara ya shekilango bajeti 50,000/ kama kipo
Kipo maeneo gani?Kipo kinalipiwa miezi 6 mwezi mmoja wangu
Hii ni moja ya sekta nyeti sana ambayo inatakiwa kuunganishwa na uhamiaji, usalama wa taifa, TRA na wizara ya lukuvi. Watu wanapiga kazi wanapata hela bila kulipa kodi, wengine ndo hivyo tena wageni wanakuja wanaishi bila vibali etc.
Mkuu,chumba,sebule choo ndani kwa ndani na Luku ya pekeangu maeneo ya mwenge au viunga vyake napata kwa shingap kwa mwezi? Kuwe na Silingbod au gypsumboard na kiwe na rangi na tilesKaribuni
Vinaanzia 200k to 300k kulingana na ubora wa nyumbaMkuu,chumba,sebule choo ndani kwa ndani na Luku ya pekeangu maeneo ya mwenge au viunga vyake napata kwa shingap kwa mwezi? Kuwe na Silingbod au gypsumboard na kiwe na rangi na tiles
Hapa huwaoni wakichangiia ila ulichosema ni ukweli mtu sekta hii imeficha mengi na sijui why serikali inashi dwa kuchukua kodi yake hapa inahangaika na magari tu.Hii ni moja ya sekta nyeti sana ambayo inatakiwa kuunganishwa na uhamiaji, usalama wa taifa, TRA na wizara ya lukuvi. Watu wanapiga kazi wanapata hela bila kulipa kodi, wengine ndo hivyo tena wageni wanakuja wanaishi bila vibali etc.